Chama cha democrasia na maendeleo wilaya ya Tarime kimeingia katika mgogoro na mwenyekiti wao wa taifa mh Freeman Mbowe.Mgogoro huo umesababishwa na Mbowe kuwapangia wana chadema kumchagua mwenyekiti ambae ni Hawara wa mbowe.
Na walipokataa kufanya hivyo mbowe ametishia kufuta madiwani wote wa Chadema katika majimbo mawili ya tarime mjini na Tarime vijijini.
Sharti la pili alilotoa mbowe ni kama hawataki kumchagua mteule wake wachague huyo wanae mtaka na kuongoza kwa kipindi cha miaka miwili na nusu na kisha Hawara wa mbowe atamalizia awamu inayo baki, Alisema Mbowe
Katika hali hiyo imesababisha mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mara Chacha Suguta Heche kutangaza kuachana na siasa za kiharakati za Chadema.
Pia john Heche amesema" [16/12 10:14] John Heche: Hiyo kauli kama ilitolewa haikubaliki Tarime ni sehemu muhimu katika mapambano ya ukombozi wa taifa hili na imethibitisha hivyo mara zote nitafutilia kujua ukweli wake
[16/12 10:15] John Heche: Hatutakubali mtu yoyote kutupuuza na kuipuuza Tarime kwa njia zozote zile
[16/12 10:16] John Heche: Mimi kama mbunge niliechaguliwa na watu wa Tarime kuwasemea na kuwapigania nitafanya hivyo bila kumuogopa yeyote"amesema Mh heche.
Wadau ntaendelea kuwapasha.