Mmexico
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 369
- 329
Jamani tunawaomba Viongozi wa CHADEMA wanavyo waongelea kina BEN na MAWAZO, wakumbuke WENYEVITI 4 na MAKATIBU 2 na MJUMBE 1 walimwaga damu 2016-17 sababu za kisiasa.
Hivi karibuni Yamekuwa yakitokea mauwaji mengi sana mikoa ya Lindi, Pwani na kanda ya Ziwa yakihusishwa na mambo ya Siasa na waathirika wakubwa wakiwa CCM.
Mkumbuke pia wale sio kina H.Mwinyi wala Maghembe, ni watoto wa Watanzania wenzetu na wameitumikia sana nchi hii.
Ifike mahala wenzetu CHDM muanze kuhubiri Amani kama wafanyavyo viongozi wa CCM, badala ya kuhubiri chuki na kuamsha hisia kwa Wananchi kuwa Chadema au upinzani wanaonewa na serikali yao.
Msipo hubiri amani, Upendo au kupinga utumiaji uharifu kukikuza chama tutafika mahali pabaya zaidi.
Mungu aibariki Tanzania