Jelavic
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 180
- 380
Na jelavic
habari zenu wakuu
natumai wote niwaoga wa afya hatuna amani nawadanganya. nitumie uzi huu kwanza kuwapongeza sana waanzilishi wa jamii forum kwakuwafanya vijana wengi wanaopata homa ya kisiasa kuingia humu nakuzungumza mitazamo kwa kadri ya homa hiyo ilivo mpanda kichwani..
kuthamini chako ni uzalendo kwaiyo sikuona sababu ya jamii forum kushtakiwa mahakamani nabadala yake ingeungwa mkono kwa kuwaunganisha maelufu ya Watanzani pamoja.
SHERIA NAMBA TISA YA CCM NA KIFO CHA CHADEMA HADI 2025
kwanza tuwekane sawa
siasa za tanzania na dunian udhaifu wa mpinzani wako kisiasa ndio uimara wako dhidi yake.
ili chadema ajipe matumaini ya kushinda sehemu yoyote katika jimbo, kata hata urais mambo atayo yaangazia kwaharaka ni pamoja na udahifu wa mpinzani wake
pia miongoni mwa mambo ambayo yalikuwa yanatazamiwa sana katika uchaguzi ujao nipamoja na ccm wenyewe kugawika juu ya nani awe rais baada ya awamu hii ya mwenda kasi kwani wengi wameonyesha kutoridhika na mwenendo wake
faida kwa chadema ilikuwa pindi wao watakapo gawika juu ya nan awe raisi 2020 basi wao watumie mwanya huo kujii marisha katika kuchukua dola cha kusikitisha kushangaza na kuhuzunisha ni hii sheria iliyo nukuliwa ikisema RAIS HATOPINGWA NDANI CHAMA KWA AWAMU YA PILI BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE KAMA ATAKUA NA NIA YA KUGOMBEA TENA ikiwa sheria hii ipo kweri basi kifo cha chadema kinapatikana hapo
mtu anaeijua siasa vizuri anaweza kusema mpaka sasa bwana huyu anauhakika wa kukaa madarakani miaka 10 kwa zaidi ya asilimia 90.999995% anasubiri tu ifike 2020 ili aidhinishwe tena
kifo cha ndoto za uraisi kwa lowasa kimeishia hapa
NAOMBA KUWASILISHA