kitendawili: Ili upate wachangiaji wengi kwenye uzi wako hapa jf ni lazima ukitaje chama gani????
Chadema ni chama cha mashetani mkuu.chadema
Mkuu wewe unahangaika na chadema huku unafahamu kuwa chadema hawako sawa vichwani mwao zao ni kukurupuka tu hata hoja hakuna.Chadema wanataka kuwe na serikali tatu. Wakati huo huo wanataka kuwe serikali ya majimbo. Kwa maana hiyo, kutakuwa na Rais wa Muungano na wakuu wawili wa serikali za Bara na Zanzibar. Pia kutakuwepo na gavana katika kila jimbo ambao watakuwa na mamlaka kamili kwenye majimbo yao.
Ukiondoa suala la gharama ambalo kwa demokrasia ni vyema kuzipitia kiutawala hii imekaa sawa? Utawala wa majimbo chini ya serikali tatu unawezekana? Dhana kuu ya sera ya serikali ya majimbo ni kuhamisha madaraka ya maamuzi kutoka kwa watu wachache na kuyarejesha mikononi mwa wananchi vijijini.
Kama ni hivyo, hizo serikali mbili za Bara na Zanzibar zitakazokuwa zinaongozwa na wakuu wawili zitakuwa zinafanya nini? Madaraka ya wakuu wa serikali hizo mbili hayatagongana na madaraka ya magavana wa majimbo? Kama serikali moja chini ya utawala wa majimbo haiwezekani, solution ni kuwa na utawala wa majimbo chini ya serikali tatu?
Chadema wanataka kuwe na serikali tatu. Wakati huo huo wanataka kuwe serikali ya majimbo. Kwa maana hiyo, kutakuwa na Rais wa Muungano na wakuu wawili wa serikali za Bara na Zanzibar. Pia kutakuwepo na gavana katika kila jimbo ambao watakuwa na mamlaka kamili kwenye majimbo yao.

CHADEMA walipendekeza kuwa na mfumo wa majimbo ikakataliwa na wananchi, wakauweka pending. Mfumo wa serikali tatu ndo ukakubaliwa. Shida iko wapi?
Chadema ni chama cha mashetani mkuu.
Chadema wanataka kuwe na serikali tatu. Wakati huo huo wanataka kuwe serikali ya majimbo. Kwa maana hiyo, kutakuwa na Rais wa Muungano na wakuu wawili wa serikali za Bara na Zanzibar. Pia kutakuwepo na gavana katika kila jimbo ambao watakuwa na mamlaka kamili kwenye majimbo yao.
Ukiondoa suala la gharama ambalo kwa demokrasia ni vyema kuzipitia kiutawala hii imekaa sawa? Utawala wa majimbo chini ya serikali tatu unawezekana? Dhana kuu ya sera ya serikali ya majimbo ni kuhamisha madaraka ya maamuzi kutoka kwa watu wachache na kuyarejesha mikononi mwa wananchi vijijini.
Kama ni hivyo, hizo serikali mbili za Bara na Zanzibar zitakazokuwa zinaongozwa na wakuu wawili zitakuwa zinafanya nini? Madaraka ya wakuu wa serikali hizo mbili hayatagongana na madaraka ya magavana wa majimbo? Kama serikali moja chini ya utawala wa majimbo haiwezekani, solution ni kuwa na utawala wa majimbo chini ya serikali tatu?
Wewe ni msemaji wa CHADEMA au unataka kuchafua hali ya hewa ndani ya CHAMA? mimi naamini wamejikanyaga,
Mkuu,
Ninavyofahamu mimi ni kwamba serikali yetu hivi sasa ina gharama kubwa za kiutendaji bila hata ya kuwa na serikali za majimbo. Nimepoteza hata idadi ya mikoa kutokana na kuongezeka kila kukicha, na kila mkoa una Mkuu wa Mkoa, Katibu Mtendaji (?) a.k.a. RAS na mlolongo mkubwa wa watendaji mkoani kuanzia Elimu, Afya, Mhandisi, Maji n.k. Hawa wote wapo, ila hawawajibiki kwa wananchi mkoani wala hawana maamuzi binafsi. Kazi yao kubwa ni kutekeleza 'amri' kutoka Dar ama Dodoma. Pia ufanisi wao utategemea pesa zitoke Makao Makuu pamoja na maelekezo ya shughuli za kufanya.
Kukiwa na serikali za majimbo ni kwamba hatutakuwa na RC 'mteuliwa' na Rais aliyeko Dar. Badala yake wananchi wa mkoa husika watapata nafasi ya kumchagua 'gavana' wao atakayesimamia matakwa yao na maendeleo yao. Watendaji wote watakaokuwa mkoani watawajibika kwa gavana ambaye atawajibishwa na wananchi waliomweka madarakani. Kwa maana hiyo shughuli za maendeleo zitasimamiwa kwa ukaribu zaidi kwani hakuna tena kusubiri 'amri' kutoka kwa mkuu wa kaya. Maana ingine ni kuwa ufisadi uliopamba moto na ubadhirifu vitaweza kudhibitiwa kirahisi zaidi iwapo watendaji wanajua ya kuwa uwepo wao unategemea ridhaa ya wananchi. Mathalani endapo wananchi wa mkoa fulani wana tatizo la Maji, Afisa wa Maji atapaswa kutoa majibu kwa wananchi na kueleza mikakati gani atakayochukua kuwapatia ufumbuzi. Serikali Kuu itakuwa msimamizi mkuu, itapanga sera za kitaifa kulingana na mipango mbalimbali itakayofikishwa huko kutoka kwenye majimbo badala ya kutoa amri na kutangaza sera majukwaani kama ifanyavyo sasa. Mfano mzuri ni huu mpango wa 'Big Results Now' ambao serikali imeutangaza, 'wateuliwa' Mawaziri wameupitisha, na pia mikoani maafisa elimu wameupitisha, walimu ambao ndio 'watekelezaji' hawakushirikishwa na sasa wanalazimishwa waukubali.
Laiti tungekuwa na serikali za majimbo serikali kuu isingewaburuza watendaji kutii amri kutoka juu. Badala yake mpango mzima ungeanzia kwa watendaji. Kila jimbo lingekuja na mawazo yake yanayoweza kutekelezeka kabla serikali kuu haijapayuka na kutangaza hadharani. Kwa mtazamo wangu hata gharama za kiutendaji zitapungua kwani mipango mibovu isiyo na tija haitapata nafasi. Wafanyakazi wazembe mikoani hawataweza kujificha na ufanisi utaongezeka. Hizo gharama nyingine za sasa zinazosababishwa na uangalizi mbovu wa miradi ya maendeleo zitakwisha chini ya mfumo wa majimbo.
chadema ni chama cha mashetani mkuu.
chadema wanataka kuwe na serikali tatu. Wakati huo huo wanataka kuwe serikali ya majimbo. Kwa maana hiyo, kutakuwa na rais wa muungano na wakuu wawili wa serikali za bara na zanzibar. Pia kutakuwepo na gavana katika kila jimbo ambao watakuwa na mamlaka kamili kwenye majimbo yao.
Ukiondoa suala la gharama ambalo kwa demokrasia ni vyema kuzipitia kiutawala hii imekaa sawa? Utawala wa majimbo chini ya serikali tatu unawezekana? Dhana kuu ya sera ya serikali ya majimbo ni kuhamisha madaraka ya maamuzi kutoka kwa watu wachache na kuyarejesha mikononi mwa wananchi vijijini.
Kama ni hivyo, hizo serikali mbili za bara na zanzibar zitakazokuwa zinaongozwa na wakuu wawili zitakuwa zinafanya nini? Madaraka ya wakuu wa serikali hizo mbili hayatagongana na madaraka ya magavana wa majimbo? Kama serikali moja chini ya utawala wa majimbo haiwezekani, solution ni kuwa na utawala wa majimbo chini ya serikali tatu?
wamevurugwa, hilo ni kosa la kuongozwa na akili ndogo wanafikilia leo bila kujali siku zijazo.Chadema wanataka kuwe na serikali tatu. Wakati huo huo wanataka kuwe serikali ya majimbo. Kwa maana hiyo, kutakuwa na Rais wa Muungano na wakuu wawili wa serikali za Bara na Zanzibar. Pia kutakuwepo na gavana katika kila jimbo ambao watakuwa na mamlaka kamili kwenye majimbo yao. Ukiondoa suala la gharama ambalo kwa demokrasia ni vyema kuzipitia kiutawala hii imekaa sawa? Utawala wa majimbo chini ya serikali tatu unawezekana? Dhana kuu ya sera ya serikali ya majimbo ni kuhamisha madaraka ya maamuzi kutoka kwa watu wachache na kuyarejesha mikononi mwa wananchi vijijini. Kama ni hivyo, hizo serikali mbili za Bara na Zanzibar zitakazokuwa zinaongozwa na wakuu wawili zitakuwa zinafanya nini? Madaraka ya wakuu wa serikali hizo mbili hayatagongana na madaraka ya magavana wa majimbo? Kama serikali moja chini ya utawala wa majimbo haiwezekani, solution ni kuwa na utawala wa majimbo chini ya serikali tatu?
chadema ni janga la taifa. ni wanafki kupita kiasi hawa jamaa na maneno yao huwa ya blaa blaa sana.Chadema ni chama cha mashetani mkuu.