Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Weka akiba ya manenoMmeshakuwa kama manyoka ya bujora makumbusho hamna madhara kwa sasa mtatafuta kiki mpaka mzeeke
Dawa ya moto ni petroli , tumevumilia kwa kiwango ambacho hata shetani anatushangaa"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!
Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
Matusi ndio njia pekee ya masikini kujiliwazaHuko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
Andamaneni hadi gerezani mkuu.A. Town tunaratibu maandamano makubwa sana jana tumekaa na viongozi wote wa kanda na wote wameridhia moto huo utawaka hivi punde baada ya mwanasheria kukamilisha yote.
swissme
Pole sanaAndamaneni hadi gerezani mkuu.
Lema hana kampani kule