Chadema Sasa Tunaingia huko huko Nyuma ya Pazia Kuhusu Kesi ya Godbless Lema

UKUTA part 2 bado nasubiri, part 1 iliishia hewani na impact 0 japo kulikuwa na mbwembwe lukuki...
 
"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!

Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
Unaandika uchafu humu, acha tabia hiyo chafu kama Lema alivyojichafua mwenyewe, ndiyo maana hata Dr Mbowe kagoma kwenda kumuona mtu mchafu huyo.
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
Nimecheka Sana hii...!!
Hawa Jamaa huwa Watanifurahisha Sana wakishinda kesi huwa wanasema mahakama zipo huru ila wakishindwa wao Ndo nyuma kwa nyuma...
 
Vipi zile pesa walizopewa wabunge wa ccm ili kipitisha ule mswada wa habari mh, mbowe tayari ameshatoa ushahidi au bado
 
~~~>>>>>Makamanda mmefanya Operesheni nyingi hadi mmechanganyikiwa ...... Mmeshaanza KataFunua???

~~>>>>Lema yupo Kisongo ananyea debe makamanda mnatoa povu JF.... Kama vipi tokeni hata kesho muandamane....

~~~>>>>Polisi wana siku nyingi hawajapasha.......
 
Fisiemu wakisikia hivi wanaanza kuwaza namna watakavyotumia polisi kudhibiti kila jitihada watu wenu Chadema wasiwe huru.

Inatia kinyaa nchi yetu sote halafu watu wachache wanajidai wao ndiyo wababe......ujinga ujinga tu.
Wewe mwehu kabisa JF ndiyo inakupa fikira za kijinga kama Lema, eti chadema ni wengi kuliko ccm!!
 
Kwa nature ya watanzania lema wamempandisha chat sana.

~~~>>>>Hata hawa nyumbu wanapiga kelele hapa Jukwaani tu..... Hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kitoka hadharani...

~~~>>>>Makamanda Uchwara....
 
Kwa nature ya watanzania lema wamempandisha chat sana.

~~~>>>>Hata hawa nyumbu wanapiga kelele hapa Jukwaani tu..... Hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kitoka hadharani...

~~~>>>>Makamanda Uchwara....
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
teh teh..inabidi lema awache mchezo wa kufungwa jela.
 
Mtu anayepayuka 'nakunywa sumu' huyo si tishio.

Kulikuwa na haja gani kuja kuleta hiyo 'nyuma ya pazia' yenu huku hadharani? si mufanye suprise ndio mukuwe suprised.
 
Mtu anayepayuka 'nakunywa sumu' si tishio.

Kulikuwa na haja gani kuja kuleta hiyo 'nyuma ya pazia' yenu huku hadharani? si mufanye suprise ndio mukuwe suprised.
 
Mpaka kieleweke uonevu kiasi hiki ni lazima ukemewe kwa nguvu zote.

[HASHTAG]#justiceforlema[/HASHTAG]

"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!

Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
 
"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!

Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
Hili ni toleo la ngapi tangu kesi imeanza mkuu.
 
Back
Top Bottom