Chadema Sasa Tunaingia huko huko Nyuma ya Pazia Kuhusu Kesi ya Godbless Lema

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!

Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
 
Mtu mmoja atusumbue watu zaid ya miln sita, haiwezeka, lazima tujue Nyuma ya pazia kuna nn, kama noma na iwe noma
 
Amani Golugwa huko nyuma ya pazia kuna MAONO? ANGALIENI MSIJE MKAPATA MAONO halafu MKAROPOKA, MTAJAZANA KISONGO!!
 
"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!

Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
Dawa ya moto ni petroli , tumevumilia kwa kiwango ambacho hata shetani anatushangaa
 
Huu siyo muda wa kupiga kelele za chura (zisizo mzuia ng'ombe kunywa maji) nyuma ya keyboard, kamanda Lema anaumia ndg zanguni.

Chama lazima kitafute mbinu ya kuendeleza kazi aliyoanzisha kamanda Lema. Lkn pia anasuliwe kutoka kwenye makucha ya dhuluma.
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
Matusi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
 
44444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444444
 
1480781245567.jpg
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom