Chadema Sasa Tunaingia huko huko Nyuma ya Pazia Kuhusu Kesi ya Godbless Lema

"Kuhusiana na kesi ya Mhe Godbless Lema (MB), tumeona mambo mengi sana yasiyofaa na sarakasi nyingi za kisheria zikiendelea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Sasa tunaingia huko huko nyuma ya pazia na pole pole tu ila kwa ghafla heshima itarudi" Mungu atatupa hekima katika hili..!!

Imetolewa na:
Mhe.Amani Golugwa
Katibu-CHADEMA kanda ya kaskazini
Mwenyekiti-CHADEMA Mkoa wa Arusha.
Hamna lolote nyie.
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
Pathetic
 
Huyo Golugwa ni wa kupuuzwa na matamko yake koko
Aliwahi kudai wasiporuhusiwa kuingia mahakamani watafungulia mbwa.
Leo amekurupuka na tamko koko,nadhani wakati muafaka kwa yeye kumfuata Lema
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
Kwa kusema hivyo umekiri kuwa hakika Lema ni Mandela wa Arusha.
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani

Kwa kauli hii msemo wa marehemu didas unahusika hapa
 
Huko Nyuma Nyuma isiwe kwa Mke wa Kamanda Lema, Maana mnapomfamanisha Lema na Mandela kapata wasiwasi maana Mke wa Mandela Winnie nae aligeuzwa Mke wa Vijana wa Umkotho we swize ( Bavicha ya ANC) sasa hizo Mbwembwe zenu za kusema mnapita Nyuma ya Pazia Msimgeuze Mke wa Mandela wa Arusha kuwa Kama Winnie wakat Mandela alipokuwa Gerezani
Kichwa chako kina minyoo sio ubongo
 
Watu wamechukua pikipiki leo.ccm hawawajui watoto wa mjini walivyo
 
Nimegundua Lema si chochote Arusha, km wananchi wamekusanyika na kumpokea Waziri Mkuu huku mbunge wao akiwa jela basi Lema si chochote tena Arusha.
 
Sasa una haja gani ya kutueleza mipango yako ya nyuma ya pazia? Acha pumba. Dua ya kuku halimpati mwewe.
 
Fisiemu wakisikia hivi wanaanza kuwaza namna watakavyotumia polisi kudhibiti kila jitihada watu wenu Chadema wasiwe huru.

Inatia kinyaa nchi yetu sote halafu watu wachache wanajidai wao ndiyo wababe......ujinga ujinga tu.
 
Hao ndio chadema A.K.A watindiga..sasa kama kunakitu nyuma ya pazia huku mtandaon unatwambia ili tukusaidie nn fanya kimyakimya kama jambo lilivokimyakimya unapiga wayoe yann acha tuyaone wenyewe..ila sio kwa arusha hii wasaidien kwanza wale waume zao waliokufa kwenye yale maandamano yamwanzo kabla hamjasababisha wengine kuuwawa maana ninyi hua hamuishi bila dam hamna tofaut na mavampere
 
Back
Top Bottom