CHADEMA sasa chali


Waliojiandikisha wapo Mil 20 Acha hesabu za NYANYA.
 
Muulize Siza Daniel jana aliona nini kwenye Final za bss pale KING SOLOMON HALL kweli CCM inapendwa aseee
 

Hata nyiye wenyewe hamuambiani kama zile kadi ni feki? Ccm ni shida work as a team siyo kila moja anakurupuka kivyake
 
leo week end mkuu jamaa anatafuta buku 7 kwa hudi na uvumbaaaaaa
tumewashika pabaya
 
Chadema wamepoteza mwelekeo,mgombea wao hauziki kila kona

Haaa unanshangaza nani anaongoza kwa matangazo? Nchi nzima mabango kila nguzo ya umeme tangazo kila tv radio vipeperushi mhhh yetu macho aaa nilitaka kusahau wasanii mpaka sasa nasikia mnamleta kamilioni na nanihii
 

Hapa mikumi hali ni tete kwa mgombea wao wa ukawa anayejiita profesa jay

Anazomewa tu
Watu wanamwita mhuni
maana wameshaona mfano wa sugu kule mbeya hakuna alichofanya

Ukawa out
Lowasa msanii out
Prof jay (feki) msanii out

Tanzania mpya na magufuli
Mikumi mpya na jonas nkya(ll.m)
 
Chadema isha kufa cku nyingi tunasubiri tu 25/10 ,kuizika vithuri
 
Ubora mnapoanzisha mada muwe mnabakia kujadiliana na wenzenu!
 
Last edited by a moderator:
Mikutano Ya Ccm Ni Fiesta Unakula Ngoma Za Wasanii Bila Kiingilio Hakuna Cha Zaid Kipi Ambacho Ccm Hakija Ahid Alaf Bado Ni Hewa Tu
 

Propaganda zenu zinatuunganisha pamoja,tunakuwa imara zaidi.Tunamchagua Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…