CHADEMA sasa chali

JF sasa inaboa, bora tuhamie fb, hawa wapumbavu wa fisiemu wameharibu jukwaa kabisa kwa habari zao za uzushi.
Wanaleta uongo hawathibitishi na modsccm wanawaachia tu
 
#TeamMabadiliko tuwaweke hawa wapumbavu wa buku 7 kwenye ignore list, waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe
Nimeanza na huyu mpumbavu anaenzisha uzi kila dakika
 
kama hawa vijana ndo IT wa masaki na kazi yao ndo hii hili taifa tuna kazi ndi maana wengine wanasisitiza elimu,elimu,elimu
 
CDM ilikuwa ya 2005-2014 basi, hii ya sahivi ni wapiga diri tu na wauza utu wa mtanzania
 
nawaona mnavyojipiga madole kwenye.......afu mnanusa wenyewe polen lumumba!!
 
Nimetokea kuwachukia sana Mods wa JF! Hawataki kuona chochote humu kizuri cha UKAWA wanafuta! Hii sio JF tulioifahamu huko nyuma.Wabaki CCM tu ndio wanaopost matusi! Binafsi nimegunfua really kabisa Mods wanatumika, Hawataki kuona CCM inasemwa vibaya.Tuondoke humu tuwache na wanaccm wao.
 
Mitaani wamekimbia hawa jf wako kazini sio kwamba hawajui ila wanatetea ajira ambayo nayo itaisha 25.10 baada hapo mungu yupo .ccm mbele kwa mbele
 
Ukweli jamni huku iringa chadema ikipita basi mungu yupo upande wao ila kiuhalisia watu hawataki kusikia neno chadema
 
Kwa kwel mwanzon nilijua unatania kumbe upo serious. Jaman magamba mbona mnaweweseka ivo.tulien kidogo hapo dawa ishawaingia inafanya kaz ss
 
Teh teh mnajipa matumaini wenyewe eti eh
TIme for change, time for freedom chadema oyeeeeeee
 
Ukweli jamni huku iringa chadema ikipita basi mungu yupo upande wao ila kiuhalisia watu hawataki kusikia neno chadema

Waambie CDM ilikuwa ya 2005-2014 baasi, hii ya sahivi ni genge la wauza utu wetu basi
 

Hapa kazi tuuuuuu!!!
 
mtaani kwenu sema wapi huko ambapo hawataki mabadiliko? sema sasa mbona unagopa?. mtu muongo bana

We we unazania wote hawajitambui kama wewe? Ukawa mtakua Ukiwa subirini 25 oct
 

Unawachukua vijana wa CCM unawapa kadi feki za CDM halafu unawaandalia mkutano warudishe kadi ulizowapatia mbele ya vyombo vya dola.Halafu unapost fb na JF huku ukichekelea! Pathetic,Nawaonea huruma sana.Lowassa anatosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…