Chadema wapoteana kweli, huku mtaani kwetu hawataki kusikia neno chadema.Kuna kila dalili za chadema kupoteana wenyewe kwa wenyewe,majimboni hali ni ngumu kwa wagombea,zomeazomea nayo imeshika kasi,maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500,Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.
Chadema wapoteana kweli, huku mtaani kwetu hawataki kusikia neno chadema.
Kuna kila dalili za chadema kupoteana wenyewe kwa wenyewe,majimboni hali ni ngumu kwa wagombea,zomeazomea nayo imeshika kasi,maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500,Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.
Kwa hiyo ukishaandika upumbavu kama huu, unatoka nduki kwenda kudai buku 7.
No wonder baba zenu wameuza nchi China!
Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.
Akili ya gamba ni bora ya mjusi.hawa tuambie in mtaa gan huo au mtaa wa saba?
Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.
Vijana wapoteana wamebakia mateja tuu