Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,430 Jul 27, 2011 #1 Wamekaa kishamba sana kama kushabikia Kutolewa kwa mbunge Wenje ni tabia ya ulimbukeni ,Kwa yanayoendelea bungeni ,chadema kinawakilisha mahitaji ya wananchi kwa juhudi zote hata kama inawacost utu wao! Welldone chadema MP'S !
Wamekaa kishamba sana kama kushabikia Kutolewa kwa mbunge Wenje ni tabia ya ulimbukeni ,Kwa yanayoendelea bungeni ,chadema kinawakilisha mahitaji ya wananchi kwa juhudi zote hata kama inawacost utu wao! Welldone chadema MP'S !
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,507 Reaction score 6,455 Jul 27, 2011 #2 hongera zangu...hasa kwa freeman mbowe.....
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 57,125 Reaction score 46,589 Jul 27, 2011 #3 Safety last said: Kwa yanayoendelea bungeni ,chadema kinawakilisha mahitaji ya wananchi kwa juhudi zote hata kama inawacost utu wao! Welldone chadema MP'S ! Click to expand... Dishonest
Safety last said: Kwa yanayoendelea bungeni ,chadema kinawakilisha mahitaji ya wananchi kwa juhudi zote hata kama inawacost utu wao! Welldone chadema MP'S ! Click to expand... Dishonest
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,957 Reaction score 13,935 Jul 27, 2011 #4 Kweli kabisa,wanafanya kazi waliyotumwa.