DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Leo Desemba 19, 2025, Jeshi la Polisi limemkamata Bi. Ashura Masoud, Katibu wa Kanda ya Kati, akiwa katika ofisi za Kanda - Dodoma akijiandaa na mkutano na waandishi wa habari. Pia wamekamatwa mwandishi wa Jimbi TV, hadi sasa haijafahamika walipelekwa kituo gani cha polisi.