CHADEMA 'Pasua kichwa' UKAWA

Hivi Ukawa bado ipo? Inasubiri nini? Rais ni Magufuli. Warudi shamba wakalime
 

mtu mwongo, mnafki aliyetumwa kupandikiza uhongo tena haipendezi mtu mzima kuwa muongo kama wewe! Either uko under 18 au mtu mzima usiejielewa
 
mmechelewa sana..km starter ya Lowasa tayari mna homa...anapoleta mvinyo mezani si mtaokotwa chooni mkipiga mswaki ktk shimo.project Kingunge haijawa na mafanikio kihivyo kiasi hca kuiacha ccm iwe na time ya kwenda amsha mamluki wake ktk upinzani.
 

Ndugu Lipumba hana mvuto na hauziki kukubali mpango huo ni kukubali kushindwa.
 

Nadhani lipumba anafaa kua waziri mkuu na sio rais
Maoni yangu tu!
 

Kama ni hivyo bora CDM waende kivyao, kwani CUF, NCCR na NLD wanaihitaji sana CDM kuliko inavyovihitaji hivyo vyama vingine.

BTW, mimi ninafikiri CDM imepata viti vingi vya ubunge kwasababu ya VIGEZO walivyojiwekea? Je, CUF inataka ipewe wabunge wengi kwa VIGEZO vipi?
 
Binafsi nimechoka na kutofikia muafaka ndani ya UKAWA
 
Zitto alishasema watu wanaogawana vyeo ni wasaka tonge, tunayaona sasa
 
Wasaka tonge
 
Mgogoro huo unaweza kuwepo na watu inatakiwa tuelewe kuja kwa UKAWA kumefanya baadhi ya VYAMA kutoendelea na Operations zao zakueneza CHAMA waliwaachia CDM peke yao kwa Lengo lakusafiria Nyota ya CDM kwenye Mgongo wa UKAWA tujiulize Chama km NLD na NCCR tangu walipotoka kwenye BUNGE. LA KATIBA wamefanya Mikutano mingapi,,,Kiukweli Viongoz wa CDM ni waungwana sana wamekubali kuungana kuitikia Takwa la wananchi kuunganisha nguvu na vyama vingine lkn kama wangekomaa wenyewe wangeweza kufanya vzr sababu wanamtandao mkubwa Kwahiyo hivyo vyama vingine vikubali tu sababu haiwezekani wengine waweSITE wengine wawe mtaani then tugawane sawa hii haikubaliki
 

Source ni wewe mwenyewe au umeambiwa ukasikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…