Hilo liko wazi ukizingatia zuio la shughuli za kisiasa, kamatakamata dhidi ya wapinzani na vitisho lukuki, kama CDM ingekua lelemama hawakuhitaji kufanya hujuma zote hizo dhidi yake, hata hivyo yaliyomsibu Mugabe ni darasa kubwa kwa CCM, muda utaongea kwani hakuna barabara ndefu isiyokuwa na ukomo, dhuluma haijawahi kushinda haki katika historia ya dunia!