Mama amegundua tatizo ni NJAA, ukitibia njaa unamaliza kelele zote za the so called wapinzani...[emoji1787]Sukuma gang wanaumia sana kuona mbinu za Samia zikifanya kazi [emoji2957][emoji2957]
Hakuna jasiri mbele ya mama
Hivi kitabu cha kusadikika ntalipata wapi wadauNatafakar tu;
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi).
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangelipwa mishahara yao na marupurupu (Tundu lissu)...
Natafakar tu;
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi)...
Zitto ana wivu wa majini ambao ni wivu wa kike na wa kilofa lofa saana tu, baelezeeAcha nadharia, ongea mambo halisi. ACT wenyewe ndio wamekurupuka kushambulia CHADEMA kwenye kesi ya Mbowe, kwenye maridhiano na sasa ruzuku.
kama hujui kuhusu yafuatayo juu ya ACT ,Natafakar tu;
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi)...
mwendazake alikuwa mchoyo ambaye mlimuita shujaa leo mnamuita mchoyo kweli ccm iko nusu kaputi.Mama amegundua tatizo ni NJAA, ukitibia njaa unamaliza kelele zote za the so called wapinzani...[emoji1787]
Mwendazake alikuwa mchoyo wa kugawa keki...alitaka kula peke yake na wateule wake!
lakin hoja zao zote zimebuma na tutawatandika kisawasawa 2025.Acha nadharia, ongea mambo halisi. ACT wenyewe ndio wamekurupuka kushambulia CHADEMA kwenye kesi ya Mbowe, kwenye maridhiano na sasa ruzuku.