Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
ww mwenye dira mbona unaishia kupika makande??Chadema hawana dira
Utetezi dhaifu san mkuu, ungeweka strong evidence ili tujadili kwa kina.
ww mwenye dira mbona unaishia kupika makande??
Hahaha umeongea nini hapo sasa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Matusi na uongoHawa vijana hawajui kitu zaidi ya matusi
Ngoja ninywe maji kwanza maana magu kaharibu sana hii nchi.View attachment 1754688
Wenye hilo tawi la CCM ndiyo hawa hawa mliowaibia kura, mkawaambie pita mali zao, mkawauwa, wengine wao wakakimbilia ukimbizini nk?
Inabidi uwe na dishi lililoyumba kuwa na mawazo kama yako mjomba.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ni hao vijana ambao ni tawi lenu?
Hiiiiii bagosha!
Nimeshasema mara nyingi, na nitasema tena: chadema ya sasa hivi ni porojo na matusi tuMatusi na uongo
Wakimbizi wasanii wawili?