Chadema ni msingi muheza kumekucha!

Chadema ni msingi muheza kumekucha!

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
75
Makamanda wa chadema ni msingi muheza leo wapo kata ya ngomeni kijiji cha mkanyageni zoezi la chaguzi za msingi zinakwenda vyema,.makamanda wengine wapo kata ya mlingano kijiji cha mlingano eneo la kizota wanachama wamejitokeza kuchukua fomu za uongozi wa chadema ngazi ya msingi na kata,hakuna kulala mpaka wang'oke ccm
 
...

....Bravo Makamanda wa Muheza!!!

....Napita huku Serengeti vijijini Chadema Msingi ndo nyimbo inayoimbwa!!!
 
Makamanda wa chadema ni msingi muheza leo wapo kata ya ngomeni kijiji cha mkanyageni zoezi la chaguzi za msingi zinakwenda vyema,.makamanda wengine wapo kata ya mlingano kijiji cha mlingano eneo la kizota wanachama wamejitokeza kuchukua fomu za uongozi wa chadema ngazi ya msingi na kata,hakuna kulala mpaka wang'oke ccm

....

....wananchi wamechachamaa ...chaaaaaaaaaX1
 
Nadhani sasa tumeelewa nini cha kufanya, mijadala ile ya wasariti imepitwa na wakati sisi tusonge mbelekujenga chama cdm
 
Chadema ni msingi mpaka kieleweke,makamanda tokeni mitandaoni twende field iwe kwenye mabasi,stesheni,masokoni na minadani tukajenge chama na kuwaandaa watanzania kwa mabadiliko 2015

Huu ni mwaka wa kazi ni kazi.
 
Pure Bonde jaman tatizo la hapa muheza ni maji ivi wanafanya niihawa ccm
 
Mpaka ccm ing'oke madarakani,walisema chadema ni chama cha msimu. Walisema ooh chadema haiwezi kushinda kwa kuwa wapiga kura wengi wako kijijini,sasa,tunawafuata huko huko kijijini,ccm lazima wang'oke kwa hiari au kwa lazima wataondoka tu.
 
Makamanda wa chadema ni msingi muheza leo wapo kata ya ngomeni kijiji cha mkanyageni zoezi la chaguzi za msingi zinakwenda vyema,.makamanda wengine wapo kata ya mlingano kijiji cha mlingano eneo la kizota wanachama wamejitokeza kuchukua fomu za uongozi wa chadema ngazi ya msingi na kata,hakuna kulala mpaka wang'oke ccm

Hiii chadema ya muheza ni Academy au .............., maana weupe
 
MBONA VISIMA VYA SABODO HATUVIONI hapa Muheza hata kimoja NA PESA WALIPEWA Dj, Mzee wa gongo, na jambazi la arusha
 
pigen kaz mi nipo dubai, namalizia bata. ila msisahau kufanya harambee ya kuchangia mfuko. peopleez power
 
Back
Top Bottom