CHADEMA ni kiwewe, husda au kutojua?

CHADEMA ni kiwewe, husda au kutojua?

CCM original

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
373
Reaction score
68
Nimeshangazwa na kitendo cha baadhi ya wanachama wa CHADEMA kufurahia na kushangilia kuhojiwa kwa baadhi ya wanachama wa CCM na kamati ya maadili ya chama.

kuna watani wangu wa kisiasa hapa mtaani ambao ni wanachama wa CHADEMA wakawa wananiambia kuwa "safari hii mtagawanyika kama karata".

Sikuwajibu neno, ila niwatahadharishe watani zangu wa CHADEMA, sisi wanaCCM hufanya mambo kwa weledi na busara za hali ya juu,

walioitwa na kamati ya mzee Mangula wameitwa kutoa maelezo yao ili chama kijiridhishe na shutuma dhidi yao.

Hawakuitwa kufukuzwa uanachama wala kuvuliwa uyeo vyote ndani ya chama.

Nyie shangilieni sisi tunajijenga, cheleweni mahakamani, nasikia eti apiril mosi tena.

CCM original.
 
Swali hilo linakuendea wewe, mbona ccm mlimshangilia sana zito wakati akienda mahakamani na hata leo wewe unaonyesha kabisa moyoni una swala la zito? Habari ya mjini ni LOWASA kumleta David Balali toka USA.
 
lowasa kumleta balali? ni uzushi tu huo hakutamka maneno kama hayo.
 
ZITTO alipewa hata hiyo nafasi ya kujieleza kweli?
 
Swali hilo linakuendea wewe, mbona ccm mlimshangilia sana zito wakati akienda mahakamani na hata leo wewe unaonyesha kabisa moyoni una swala la zito? Habari ya mjini ni LOWASA kumleta David Balali toka USA.

Hivi kuna sababu yoyote ya kukebehi maiti? Balali si marehemu? wote mnaowakebehi marehemu huenda mwaka huu msiumalize bila kumfuata.
 
Maisha bila unafiki hayaendi. Kwa mtu makini kabisa utagundua unafiki wa hii saga. Grounds ambazo chama na kamati imeweka wazi kama sababu ya kuwahoji wahusika ni mfuu na hazina mashiko. Mfano ni Lowasa.. Shughuli za utoaji misaada,pesa na the alike ni jambo la kawaida as long as he is still a public figure. Kwa tafsir ya chama wao ni hongo ya kupata publicit. No supportive evidence kuwa he has declared to contest for a presidential post. Hapa ni unafiki wa chama na kamati just to draw attention kuwa chama kinapigana na watoa rushwa au wakiuka maadili ya chama. Kama kweli the kamati is serious,how far did it go na kasha za rushwa katika uchaguzi NEC? Ushahidi ulikuwepo,but kamati was in business as usual. Hapa chama kinataka kujenga image kuwa uongozi ndani ya chama hupatikana bila rushwa na haitaki watoa rushwa. Battle kati ya chama na lowasa ni wide... Weka member,ngereja,sita pembeni... Lowasa alisurubiwa for the sake of not his chama but his so called rafiki yake ambaye hawakujuana barabarani JK. Si suala la maadili hapaa,ni unafiki wa kamati. Mark my words, hakuna hatua yoyote itachukuliwa kwa wahusika wote. JK knows how get in that position he is now..same ways Lowasa and the co-victims wanazitumia. Kamati itoe hatma ya tuhuma za rushwa uchaguzi NEC maana wanachama wenyewe walijitolea Kuweka ushahidi. Mleta thread anakejeli hatua ya CHADEMA kuchukua hatua dhidi ya wanachama wake,bora hatua ya maamuzi magumu kuliko woga na unafiki wa kuwajibisha makada. Is Lowasa vs Kamati & wasiotaka agombee ndan ya chama.
 
Swadakta !
 
Swali hilo linakuendea wewe, mbona ccm mlimshangilia sana zito wakati akienda mahakamani na hata leo wewe unaonyesha kabisa moyoni una swala la zito? Habari ya mjini ni LOWASA kumleta David Balali toka USA.

Hi I inawezekana D Balali kurudi??Name atarudi kama MSUKULE AU NOMAL
 
Nimeshangazwa na kitendo cha baadhi ya wanachama wa CHADEMA kufurahia na kushangilia kuhojiwa kwa baadhi ya wanachama wa CCM na kamati ya maadili ya chama.

kuna watani wangu wa kisiasa hapa mtaani ambao ni wanachama wa CHADEMA wakawa wananiambia kuwa "safari hii mtagawanyika kama karata".

Sikuwajibu neno, ila niwatahadharishe watani zangu wa CHADEMA, sisi wanaCCM hufanya mambo kwa weledi na busara za hali ya juu,

walioitwa na kamati ya mzee Mangula wameitwa kutoa maelezo yao ili chama kijiridhishe na shutuma dhidi yao.

Hawakuitwa kufukuzwa uanachama wala kuvuliwa uyeo vyote ndani ya chama.

Nyie shangilieni sisi tunajijenga, cheleweni mahakamani, nasikia eti apiril mosi tena.

CCM original.

paul makonda na malechela against lowasa wanajenga chama
 
ccm ni chama cha kitaifa, wakati chadema ni chama cha kikanda
 
Chama cha mafisadi c.c.yem hakitafika salama 2015 lazima kife.

Na muuaji mkuu ni lowazsa .,membee,six,ngeleeja na wengineo wenye ndoto za kuingia magogoni.
 
Back
Top Bottom