CHADEMA ni dawati la ukombozi bungeni

CHADEMA ni dawati la ukombozi bungeni

keteka

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
149
Reaction score
52
CHADEMA NI DAWATI LA UKOMBOZI BUNGENI

Mh.Dkt. Webiro Lucas Webiro ambaye ni kiongozi wa ziwa mashariki yaani Shiyanga,Simiyu,Mara na mgombea ubunge mtarajiwa jimbo la bunda mjini 2015 wakazi wa Bunda humuita wakolosero au umwana wayeka kama nyimbo zao zinavyosema;

Akiongea na wananchi wa Bunda kwa nyakati tofauti tarehe 06/05/2015 kwenye vijiji vya Mihale,Nyatwali,Bukole,Hunyari,Kyadenge,Mariwnda,Kihumbu na Mugeta, wakati wa mkutano wa tano wa vijiji hivyo kuidai ardhi ya kawaga serikali ya CCM iliyochukuliwa kinyamela bila kushirikisha wananchi wavijiji hiikatika kijiji cha Mariwanda kata ya hunyari wilaya bunda.

Mh.Dkt.Webiro aliwakumbusha kidogo historia ya ardhi ya kawaga kwamba baada ya mvua ya uhuru mwaka 1962 watu waliishi kawaga na kulima mashamba yao hapo kawaga hadi mwaka 1972 na mwaka 1974 tamko la vijiji vya ujamaa vilipo anzishwa watu walihamisha makazi yao na kuondoka kawaga kuacha mashamba yao huko kawaga ilikuvijenga vijiji kwa wakati huo.

Eneo la kawaga ambalo lin ukubwa wa raba kati ya 3900 hadi 4800 likawa wazi. Hiyo kipindi cha mwaka 1992 rais mstaafu mwinyi alipandisha hadhi na kuwa pori tegevu bila kuwa shirikisha wananchi wa kawaga kwa sababu ya sheria za wakati huo ambazo zilimpatia rais madaraka hayo alifanya hiyo lakini sasa viongozi wa CCM na wale Halmashauri wamefanya kama mradi wao binafsi wa kujipatia fedha kutoka kwa mwekezaji wa VIP au GRUMETI RESERVE ambaye kwanza walimuomba awasaidie kuzuia ujagili katika eneo hili la kawaga ambalo lipokaribu na hifadhi ya serengeti kitu ambacho hakina msaada wowote kwa watu wa kawaga na hakuna mkataba wowote na wanakawaga hadi sasa. kwa hiyo Mh.Dkt.Webiro na wanakawaga akaamua kwa pamoja tunamuomba KUB wetu bungeni Mh.Mbowe ahoji serikali ya CCM je, ni lini ardhi ya kawaga itarudi mkononi wa wananchi wa kawaga ili waache kuitumia kama ATM ya viongozi wa CCM na wale halmashauri ya bunda kwa mwekezaji wa VIP.

tatizo ni sheria iliyotumika wakati huo ambayo sasa haipo nakuendelea kuwa nyima haki ya ardhi yao ni unyanyasaji na ulavi wa hali ya juu wa mali ya umma kwa serikali ya CCM.

Nadhani saa imefika watu tuwe wazalendo na waandilifu kama msingi ya umoja wetu tusisubili mabomu ndio tutoe maamuzi juu ya watu wetu.

Mh.Dkt. Webiro akiongea kwa uchungu mkubwa juu ya fidia walizowapatia wananchi wa Kawanga nyama ya pundamilia na nyumbu 15 kila mwaka kila kijiji ambao ni wanyama wetu utadhani alikuwa amewaleta kutoka kwao wakati ni mali yetu hapa hapa kweli serikali hii ya CCM IMEVAA MIWANI YA MBAO aibu kubwa ya kuwadhalilisha watu wa Kawanga utu wao namna hiiwakabadilisha tena wakaanza kuwapatia fedha shilingi milioni1.8 hadi sasa wanawapatia milioni 2.0 na kuna mpango wa kuwa patia milioni 10 kila kijiji kwa mwaka yote haya ni wizi ulafi na uchoyo dhidi ya mali ya umma uliowekwa serikali ya CCM.

Mh.Dkt. Webiro akiongea kwa njia ya simu na mkurugezi wa wilaya bunda alijibu kwa wananchi ni kweli dhambi hii ameikuta ila sasa ameanza kuishungulikia na maamuzi yatatolewa na wakilishi baada ya baraza lijalo naomba wanipenafasi ni hakikishe wanapata haki ya ardhi yao ila Mh.Dkt.Webiro aliwambia angalia sana juu ya hili hatuna mchezo sisi hakubaliani na chochote kile tunataka ardhi yetu ilitulime mazao ya chakula pesa hazitusaidii chochote bali nikuwapa fursa viogozi wa CCM na wale halmashauri yako kushibisha matumbo yao.

Naomba wapewe ardhi yao si vingineyo sauti ilisikika kutoka kwenye mkutano huo "tunataka ardhi yetu chadema kazi iwazile mapambano bado yanaendelea webiro kaza buti hadi kieleweke mwanzo mwisho."

 
Rekebisha sredi yako. Haisomeki vizuri, weka line spacing, weka nukta na alama za mkato. Unaandika utafikiriu umemaliza form four Alharamain mwaka 2012!
 
Rekebisha sredi yako. Haisomeki vizuri, weka line spacing, weka nukta na alama za mkato. Unaandika utafikiriu umemaliza form four Alharamain mwaka 2012!

maccm bhana,hujaelewa nini hapo? Bosi bado yupo China?
 
kamanda ujumbe si umeelewa sasa toa maoni yako juu ya watu hawa sio UCCM. kamanda haya hayaitaji umakini katika sarufi unazozifahamu uzalendo kwanza
 
wanaJF kweli nitashangaa kama hawa naomba haki yao sisi tunawabeza kwa maneno ya jeuri kama haya" ni wakumbushe jambo baba mzuri ni anayetia heshima baa au nyumbani kwake sasa chadema inatetea watu na haki zao lakini mikataba ya chini 19 nani alioona sredi yake na uandishi wake tetea taifa kamanda huo ndio mdundo wetu chadema.
 
Halina ubishi bila chadema hakuna kuna angejua mafisad niwakina nani
 
CHADEMA tunatwanga kotekote.
Kila la kheri Makamada, tunacho kitaka ni kumuona muishiwa Wasira either akiokota makopo au arudi mbugani.
 
Rekebisha sredi yako. Haisomeki vizuri, weka line spacing, weka nukta na alama za mkato. Unaandika utafikiriu umemaliza form four Alharamain mwaka 2012!

mkuu kila kitu kimeeleweka cha msingi kama ukielewi kabisa ipotezee
 
yeyote atakayepinga na kuibeza kazi nzito iliyofanywa na chadema ndani na nje ya bunge atakuwa haitakii mema nchi hii
 
NAAAAAAAAM AKSANTENI SANA CHADEMA umefukua kila GOGO lililolala kuonyesha nyoka wala watu walikojificha....
 
Back
Top Bottom