Chadema ni chama dhaifu

JKilaza ni sawa na kuku aliyekatwa kichwa na kubakia kiwiliwili.
 
Unajua CDM siku hizi inakwenda kichwa kichwa ,walizani watu wote ni mambutwai ,yaliyowakuta Kusini ni aibu tupu.
Nasikia harufu Kali ya gongo hapa nafikiri ni wewe!!!!!! Please nenda kaoge na kuswaki ndio urudi hapa jamvin
 
zomba nilitegemea utacomment hivo, akili ndogo kuongoza akili kubwa...................................
 


Mkuu, hapo kwenye wekundu ungetoa neno "wa" ungeweka neno "ni" ingepedeza zaidi. Maana ulichokiandika hata kwa mimi nisiye na itikadi yoyote ya kisisa nimeshindwa kokuelewa.
 

Kama Chadema ni dhaifu CUF utakiitaje? CUF imeshindwa kutwa jimbo hata moja Tanganyika (yenye watu milioni 40), CUF wakati kuliwa chama kikuu cha upinzani tulikua hatusikii wakiihoji serikali kama serikali inavyo hojiwa sasa hivi, CUF kwenye uchaguzi wa uraisi mwaka 2010 ilishika nafasi ya tatu na mgombea wake (Lipumba) amekua akipata kura chache zaidi chaguzi hadi chaguzi. Mwisho CUF imeshindwa kutwa uraisi zanzibar ambapo ina nguvu mpaka mgombea wake akaona ni bora ajiunge na serikali ya washindi (CCM). Naweza nikaendelea zaidi...
 
Yani hata wakisemaje,haibadilishi ukweli kwamba ccm na jk ni dhaifu.wanafanya vitu kwa mazoea ndo maana tz ni maskini
 
Yani hata wakisemaje,haibadilishi ukweli kwamba ccm na jk ni dhaifu.wanafanya vitu kwa mazoea ndo maana tz ni maskini
Tuwalambe tusiwalambeeeeeeeeeeeeee?,ukipanda mahindi yanaota na rangi ganiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? kudadadadekiiiiiiiiiiiii,ccm hoyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
kweli tunge waacha japo wapate nafuu, maana mkutano wao mtwara ulikuwa na umati wa wanachama wao kama 36 ivi waote wakiwa na uniform za green, maskini CCM RIP 2012
 
kitu dhaifu zaidi ni gamba kwenye mti.Magamba wamekosa sera walichobaki nacho ni mipasho na kelele zisizo na maana.
Alicho ahidi mwenyekiti wao wakati wa kampeni havitekelezeki.
 
Chadema wacheni kujiunganisha na migomo ya madaktari na walimu ,udhaifu wenu wa kukubalika mnawaharibia na kuwachafulia wengine.

Madaktari na walimu na taasisi zingine msikubali CDM iwemo katika kudai mambo yenu ,waogopeni na kuwatenga kama wenye marazi ya ukoma.
 
Hawajakusikia omba dk 45 ITV na wassira mkawashawishi watu wenye maisha ya kuungaunga nahisi matokeo unayajua.
 

Hoja DHAIFU haina mashiko
 
Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao



Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe amekitabiria ushindi chama cha Demokrasia na maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu unaokuja.Waziri Membe amesema chama cha CDM kimetokea kupendwa na wananchi katika kila kona ya nchi na hata operesheni yao ya kusini imekitikisa chama tawala.
Waziri Membe aliyasema hayo katika chakula cha mchana alichowaandalia viongozi wa CDM nyumbani kwake waliokuwa katika jimbo lake la Mtama.Viongozi hao ni mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema,kamanda James Millya na viongozi wakuu waandamizi.
Waziri Membe aliwaambia viongozi hao ameishi nchi mbalimbali duniani zenye demokrasia ya hali ya juu hivyo hatashangazwa hata kidogo CDM kuingia Ikulu.
Kuhusu kesi iliyotengua ubunge Lema waziri Membe amedai kushtushwa na kusema kwa vile amekata rufaa anaamini mahakama ya rufaa itamrejeshea ubunge wake.

Chanzo :Mtanzania Jumapili.
 
Amkeni kuna wadau wakubwa wa CDM na vizitona viongozi wengine wanahama CDM na kuhamia chama kipya,udhaifuwa CDM ndio umewahamishia huko !
 

You either a leader or a follower. CCM is definately a follower. Hawana jipya, akili zimechoka na kilichobaki ni kusubiri CHADEMA waseme kitu ndio nao wanyanyuke. Kama Mnyika hakusema 'dhaifu' mngegundua nini hilo neno?
 
Subiri 2015 utaona udhaifu wake, JK na Pinda watakapofika the Hague.

hahaha! iyo the hague ni ya wapi gongo la mboto au! ivi we unafikiri watu wanaenda tu the hague kama kwenda chooni eeeh! jipange
 
usije ukawa na wewe ulimchagua alafu leo unamgeuka! ukawa wewe ndo hujiamini na maamuzi yako! hahaha
 
Baba dhaifu ukimwambia matatizo yako hatekelez unamfanyaje?Unaacha upate nguvu ujitegemee na uchukue majukumu ya kulea familia.Ndivyo ilivyo kwa nchi yetu.
 
Day dreams ! CDM hawana mshiko ,wapo wapo tu !

ccm ndio wapo wapo tu. Yaani kwa jinsi vijana wote tanzania pamoja na wazee wanavyokichukia hich chama cha majambazi na wauaji ningeweza kukuona ningekutemea makohozi sehemu ya mwili wako gamba wewe.
 

kweli kabisa mkuu hawa magamba washenzi kweli hawana hoja za kuongea mtu kachukuwa haki yake wanalalamika je angeiba au angeua kama JK WAO SI NDio pasingekalikaga?au angekuwa msinzi kama mwigulu, angekuwa fisadi kama lowassa, magufuli, chenge, Rostam, Nape, mramba pamoja na watendaji wote wa ccm si ndio tusingeweza hata kujibu hata kimoja? Mbowe hakutaka Gari chakavu manake ana uwezo wakunua lakwake hata mtoto wake anauwezo wakumnunulia gari shangingi kama hayo ya wabunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…