Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
sasa hapa unamaanisha kwamba CHADEMA wapo sawa na migambo OK goodLilipita kundi la Chadema hapa nilifikiri mgambo wamekosea njia ,wakisema kuwa watu wameanza kuwashitukia ! Kwa kweli sikujua jambo gani kwani spidi yao ilikuwa kali.
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
sasa hapa unamaanisha kwamba CHADEMA wapo sawa na migambo OK good
Wezi lazima wawakimbie mgambo, ila raia wema hawana sababu ya kuwakimbia na badala yake wanajiunga na harakati chini ya;
- M4C
- VUA GAMBA VAA GWANDA
- VUA UKADA VAA UKAMANDA
- OPERATION SANGARA ili tukamate wezi wote
Ei jamani umeona eei ! umo ndani ya joto ,unavua chuma unavaa bati ? Yaani unajimaliza kabisa ,Udhaifu wa CDM ni kushindwa kutamka kinaga ubaga mbele ya watu nikikusudia mikutanoni ,hivi mnaelewa Maalim Seifu alimwita nani Kikwete ,hapa JF mkaruka na mtafaruku mkubwa mkisema Maalim kapotoka ,Maalim leo ni Makamo wa Raisi wa Zanzibar na bado !
- M4C
- VUA GAMBA VAA GWANDA
- VUA UKADA VAA UKAMANDA
- OPERATION SANGARA ili tukamate wezi wote
Kumbe Mbowe alirudisha shangingi kwa kuwa lilikuwa linatumiwa na Hamad Rashid, yeye alitaka jipya. Akaone atumie mwanya kulirudisha kisiasa, lilivyotoka jipya tu akawahi mbiombio. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.
Ni kosa kubwa kuifananisha CHADEMA na CUF kuhusu maalimu kamulize Nape alisemaje alipo kuwa Mbeya nini kilimpeka IkuluEi jamani umeona eei ! umo ndani ya joto ,unavua chuma unavaa bati ? Yaani unajimaliza kabisa ,Udhaifu wa CDM ni kushindwa kutamka kinaga ubaga mbele ya watu nikikusudia mikutanoni ,hivi mnaelewa Maalim Seifu alimwita nani Kikwete ,hapa JF mkaruka na mtafaruku mkubwa mkisema Maalim kapotoka ,Maalim leo ni Makamo wa Raisi wa Zanzibar na bado !
Umeanzisha uzi ili kupima upepo!
Jk na ccm yake ndio dhaifu na wala huitaji kuwa na phd ndio ujue hilo muulize hata mtoto wa darasa la pili atakwambia!
Hilli neno dhaifu linawatafuna sana wanazi wa nyinyiemu:
poleni sana jk na ccm nidhaifu- ukweli ni uhuru.
jamani nawaomba kwa thread tuwaache peke yao wajinafasi maana wamebanwa sana ukiangalia post nyingi huwa hawatoi comments
rai yangu hii tuwaachie syesium pro tu angalau wapumue wajisikie kama wapo duniani
Muulize huyo jirani yako hapo nani Binadamu dhaifu kuliko wote Tanzania.... usiposikia Baba Mwanaasha .... Kiudhaifu hata mwanaasha kampita kwa Perfomance.... Bora tuongozwe na Mwanaasha kuliko huyu Baba Mwanaasha
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
Muulize huyo jirani yako hapo nani Binadamu dhaifu kuliko wote Tanzania.... usiposikia Baba Mwanaasha .... Kiudhaifu hata mwanaasha kampita kwa Perfomance.... Bora tuongozwe na Mwanaasha kuliko huyu Baba Mwanaasha
Ukiulizwa darasani nani Rais wa JMT utajibu nani ? nani amiri jeshi mkuu utajibu nani ? nani mkuu wa nchi na ww ukiwemo utajibu nani?