Subiri 2015 utaona udhaifu wake, JK na Pinda watakapofika the Hague.
jamani nawaomba kwa thread tuwaache peke yao wajinafasi maana wamebanwa sana ukiangalia post nyingi huwa hawatoi comments
rai yangu hii tuwaachie syesium pro tu angalau wapumue wajisikie kama wapo duniani
We wacha waondoe ,mbona tumeshazoea ,Nyie CDM mnaona kama mmeiteka JF lakini nionavyo naona mmetekwa tena mmepandishwa mkenge !jamani nawaomba kwa thread tuwaache peke yao wajinafasi maana wamebanwa sana ukiangalia post nyingi huwa hawatoi comments
rai yangu hii tuwaachie syesium pro tu angalau wapumue wajisikie kama wapo duniani
safi sana hii ndiyo niliyo itaka angalau mupumue leoWewe JF sio mali ya Chadema usiwapangie watu vitu vya kujadili kama thread imekushinda kaa pembeni waachie members wengine wachangie.
ukitaka mapro wenzako waje wakusaidie kuinanga CHADEMA wapigie tuWe wacha waondoe ,mbona tumeshazoea ,Nyie CDM mnaona kama mmeiteka JF lakini nionavyo naona mmetekwa tena mmepandishwa mkenge !
yawezekana ndiye zomba maana leo shughuri za bunge hazipomwiguru
Mwiba aka dhaifu jana ulikula nini inaelekea hujalala kwa kuvimbiwa eeh
mlitegemea CHADEMA ni sawa CUF au NCCRKatika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
puppets wa JKilaza hawa, wananjaribu kujilisha upepo kwa CDM ni dhaifu wakati wakijua kuwa wapo too sow to cope with the pace of CDM, nchi imewashinda , maisha yamekuwa magumu , wananchi wamewachoka, makundi ya wasomi yameanzisha vugu vugu la kugoma , muda si mrefu wananchi wa makundi mengine pia wata riot kwa kukosa huduma , na hawata walaumu madaktari kwani wananchi wana mkataba na serikali, wakati serikali ndo yenye mkataba na ma proffesianla iliyowaajiri na kushindwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya kaziyawezekana ndiye zomba maana leo shughuri za bunge hazipo