kUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia. Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.
CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.
Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu. Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.
Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.
akili yako inafuata trend hii hapa......kichwani kutakuwa kumebaki kasha tu!!! hakuna kitu tena....haya nenda chooni ukajisaidie
Hata Gaddafi wa Libya alikuwa na akili kama hizi zako na maneno ya kejeli kama haya yako! Lakini je, leo yuko wapi?
Ghadafi alikuwa ana akili kama za CHADEMA. Propaganda kwa CHADEMA ni mwelekeo wa udikteta.
mtoa mada yupo right; ni kheri Matonya afundishe chuo kikuu kuliko CHADEMA kuingia Ikulu; maana hilo litakuwa ni janga lingine la kitaifa; nadhani ndio utakuwa mwisho wa Tanzania!Bora uugue ukimwi kuliko kuwa na ugonjwa wa uccm?nadhani we hujitambui kabisa na kinachoendelea tanzania ama yawezekana ni mkimbizi uliyefika jana.pole kwa mawazo finyu.
Chadema wamepeleka vijana palestina, libya na afghanistan kujifunza uhalifu
KUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia.
Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.
CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.
Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu.
Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.
Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.
Duh Thread nyingine unaweza sema mtu anaota ndoto za kutembea; kaamka, kawasha kompyuta na kupost thread. Wewe ni nani mwenye uwezo wa kuzuia matakwa ya wananchi hao 40m uliowasema. Je kama wananchi wakisema haya tunaitaka CDM, wewe ni Tume ya uchaguzi utachakachua?, wewe ni mkuu wa majeshi utakaa kuongozwa na CDM, wewe ni IGP utatumia vijana wako kuvuruga amani kwa kuwapiga wafuasi wa CDM, wewe ni Rais aliyepo madaraka uta-abuse Power yako kwa kukataa kuwakabidhi nchi CDM kama Gbagbo?, wewe ni nani hasa unayeweza kusimama against will of the people?
Katika nchi za demokrasia None is 100% sure that atachaguliwa kuongoza kwani hata wananchi mmoja mmoja hawajui nani atachaguliwa zaidi ya kujua nani watamchagua as individuals. Maana matokeo ya mwisho yanatokana na wengi zaidi kufiria kwa pamoja independently kuwa fulani ndiyo awaongoze.
Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.
Hilo la kujiapiza kuhakikisha kuwa mh SLAA au CHADEMA haiingii Ikulu katika uhai wako nakuachia wewe
na Mwenyezi Mungu, sababu ukizingatia hapa JF hatujuani kwa sura nachelea usije ukawa mwana wa ujinini,
au hata ni malaika kutoka Mbinguni, lakini kwa hayo mengine ninalakuongea kidogo.
Kwanza, Sio lazima DR SLAA wala CHADEMA waingie ikulu,labda nikuhakikishie kwamba, hata hizi harakati
unazoziona zimetapakaa nchi nzima, kama CCM itajirudi na kuanza kujishughulisha na mambo ya wananchi
hakika nakuambia hautazisikia, Hata Jakaya akijitia nguvu na kuanza ama kutimiza ahadi zake au angalau
kutatua matatizo yaliyojitokeza baada ya yeye kuingia ikulu mapenzi waliyokuwa nayo watanzania kwake
mwaka 2005 yatajirudia maradufu.
Sijakuelewa umelibebesha neno propaganda maana gani, lakini kwa namna ulivyolitumia na kwa namna
ninavyowafahamu CHADEMA, inaonekana unamaanisha kwamba
1. kuisukuma serikali kupambana na rushwa
na ufisadi ni propaganda,
2. kuwasukuma wananchi kuhakikisha kwamba mabaraza yao ya madiwani yanazisimamia
halmashauri katika usimamiaji wa rasilimali zao ni propaganda,
3. Kuisukuma serikali kuendesha mchakato wa kutengeneza katika mpya ni propaganda
4. kuwasukuma wananchi kusimamia michakato ya uchaguzi wa viongozi wao kwa uwezo
wao wote ni propaganda.
5. kuisukuma serikali kusimamia uchumi imara wa taifa letu (control the inflation, create jobs etc)
ni propaganda.
6. Kuishikinisha serikali kuboresha miuondombinu ya kiuchumi ni propaganda.
7. kuishinikiza serikali kuboresha huduma za afya, elimu, ulinzi, sheria nk ni propaganda.
8. n.k
Well, bahati nzuri umesema wanaweza kupata wagunge kwa propaganda, lakini kama pia
ni hizi propaganda ndio zinakufanya kututambia kwamba wewe unajua utakufa lini na
utahakikisha kabla kifo hakijakuchukua DR SLAA wala CHADEMA hawataingia Ikulu najihisi
kujibishana na kiumbe kutoka ujinini.
Kwa kifupi ni kwamba kwa Propaganda hizi, hata SAU au DP, achana kabisa na CHADEMA,
wakizisimamia ipasavyo, of course, kama waavyofanya CHADEMA bado CCM will have gone
by 2015.
Thanks kwa kutambua kwamba CCM is fading away, Na kwamba wewe unaumizwa
na ukweli kwamba CHADEMA is replacing them na DR SLAA suceeding Kikwete. Kama CCM
haitazishughulikia propaganda hizi kama bado utakuwapo,2015 utakufa na kijiba cha roho yako.