Chadema ni Chama Cha kibepari, Mbowe aking'atuka mrithi wake ni Joseph Mbilinyi aka Sugu. Tundu Lisu atabaki kuwa mgombea Urais!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,046
Chadema imejengwa katika Misingi ya kibepari na Ubepari una kanuni zake

Freeman Mbowe ataendelea Kuongoza Chadema Ili ifikie Malengo iliyojiwekea

Atakapong'atuka basi Bilionea Sugu Moto Chini atarithi Mikoba

Chadema hakunaga Uswahili ni kazi Tu bila majungu, fitna wala Unafiki

Usione vyaelea vilishaundwa

Nawatakieni Dominica njema πŸ˜€
 
Umejenga hii taswira kwasababu Mbowe yuko vizuri kiuchumi, ukapiga hesabu zako kuangalia pale Chadema nani mwingine anaonekana kujimudu, ukapata jibu Sugu kwasababu ana hoteli yake nae ameanza kuitwa bilionea..

Nani aliyekwambia wenyeviti wa Chadema lazima wawe na utajiri fulani, kwani kina Bob Makani nao walikuwa wanaitwa bilionea?
 
Nawatakieni Dominica njema
Fundi wa kujenga hiyo Misingi itakuwa ni wewe
 
Umejenga hii taswira kwasababu Mbowe yuko vizuri kiuchumi, ukapiga hesabu zako kuangalia pale Chadema nani mwingine anaonekana kujimudu, ukapata jibu Sugu kwasababu ana hoteli yake nae ameanza kuitwa bilionea..

Nani aliyekwambia wenyeviti wa Chadema lazima wawe na utajiri fulani, kwani kina Bob Makani nao walikuwa wanaitwa bilionea?
Mtei, Ngaiza, Bob Makani, Tuntemeke Sanga na Ndesa wote mabilionea πŸ˜„
 
Umejenga hii taswira kwasababu Mbowe yuko vizuri kiuchumi, ukapiga hesabu zako kuangalia pale Chadema nani mwingine anaonekana kujimudu, ukapata jibu Sugu kwasababu ana hoteli yake nae ameanza kuitwa bilionea..

Nani aliyekwambia wenyeviti wa Chadema lazima wawe na utajiri fulani, kwani kina Bob Makani nao walikuwa wanaitwa bilionea?
Na ni Mwenyekiti gani wa CCM amewahi kuwa hohe hahe hana kitu. ??!!
πŸ™πŸ™πŸ˜…
Kuendesha Chama ni lazima uwe vizuri kiuchumi ili usiweze kununulika kirahisi πŸ™πŸ™
 
Chadema imejengwa katika Misingi ya kibepari na Ubepari una kanuni zake

Freeman Mbowe ataendelea Kuongoza Chadema Ili ifikie Malengo iliyojiwekea

Atakapong'atuka basi Bilionea Sugu Moto Chini atarithi Mikoba

Chadema hakunaga Uswahili ni kazi Tu bila majungu, fitna wala Unafiki

Usione vyaelea vilishaundwa

Nawatakieni Dominica njema πŸ˜€
Acheni vichekesho ,sugu ni bilionaire ?
 
Back
Top Bottom