Muda si mrefu Mwenyekiti wa CDM kamaliza kuhutubia wananchi wa Masumbwe akitokea kahama, na tayari kaondoka kuelekea Bukombe 80km ambako pia watu wanmsubiri kwa kwa hamu kubwa, Masumbe kafungua ofisi ya chama na kuhutubia kwa dk 25 watu walikuwa wengi sana na hakuweza kumaliza kiu yao
safi sana
tupeni pich za masumbwe, ni muhimu
Muda si mrefu Mwenyekiti wa CDM kamaliza kuhutubia wananchi wa Masumbwe akitokea kahama, na tayari kaondoka kuelekea Bukombe 80km ambako pia watu wanmsubiri kwa kwa hamu kubwa, Masumbe kafungua ofisi ya chama na kuhutubia kwa dk 25 watu walikuwa wengi sana na hakuweza kumaliza kiu yao
Vyama vya upinzani ni dhaifu lakini vipo. JKN.
Siyo hilo tu. Alisemaje kuhusu ukosefu wa uongozi makini ndani ya CCM? Alisema Watanzania watautafuta nje ya CCM. Hilo ndilo neno.Na JKN alisemaje kuhusu Katiba ya CDM?
Don't only love,support them.I Love CDM
Siyo hilo tu. Alisemaje kuhusu ukosefu wa uongozi makini ndani ya CCM? Alisema Watanzania watautafuta nje ya CCM. Hilo ndilo neno.
Nimetokea kutokuamini!