Mmhh!! kama ni kweli basi kazi ipo!!! Tuombe iwe kheri, lakini pamoja na kuwa sipo huko, bado napata wasiwasi.
Hakuna mkutano wa CHADEMA ARUSHA, na MOD inatakiwa kuwapa watu Bun
naona leo hapa arusha hapatatosha.
Gari la matangazo ya chadema linasikika likiwaita watu kwenye mkutano huku lile la cuf likifanya vivyo hivyo. Mh!
hivi m4c imeishia wapi?
sijui kwa nini Chadema wanawahofia Cuf, ni vema wangewaacha ili wananchi wajue upi mchele na zipi pumba.!
Unaripoti habari kiumbea sana mkuu! Na wewe ni great thnker kweli.?
Watu wanapenda kupotosha umma!Arusha ni patulivu,shamrashamra za watu wengi leo hakuna coz ni j2,cdm hawana mkutano zaidi wa ule uliofanyika jana kijenge mwanama!kwa hyo watu msipende danganya na kupotosha ukweli wa mambo.
Naona leo hapa Arusha hapatatosha.
Gari la matangazo ya Chadema linasikika likiwaita watu kwenye mkutano huku lile la CUf likifanya vivyo hivyo. Mh!
Bado ipo imebadirishwa imekuwa V4C yaani VOTE 4 CHADEMA - Nikiwa na maana kila anapopita CUF anaifanyia promo CDM na kumshusha Mme na mme anaposhuka ni moja kwa moja na mke hushuka piahivi M4C imeishia wapi?
Mripoti apigwe ban!