Chadema siku zote wanapenda amani, hawakuwahi kutafuta vurugu. Wametoa maoni yao Bungeni kwa njia ya hotuba ya msemaji wao - Lissu, hawakusikilizwa.
Sasa wanajaribu second option, ya kumshawishi JK kwa faida ya watanzania kwamba asisaini mswada huo ili kupata mwafaka wa Kitaifa na kisha kupata katiba ya kitaifa.
Ifahamike, mchakato huu uliokwishapingwa na wasomi, wanaharakati na chama kikuu cha upinzani hauwezi kuacha kuleta vurugu JK asipowasikiliza. Chadema wanasaka amani. Utata wa kimantiki sijauona.
Mamlaka ya JK yanayopingwa ni yale aliyopewa na mswada mpya wa mabadiliko ya katiba, siyo mamlaka aliyopewa na katiba hii mbovu.
JK bado ni rais hata kama urais wake umepatikana kwa njia tata kwa mujibu wa katiba yetu mbovu.
Huwezi kumkana baba yako aliyekuzaa hata kama baba yako huyo alimbaka mama yako. Huna namna, japo kuwa hupendi ubakaji. Katiba mbovu ndo imeshamweka japo kwa kubaka demokrasia, sasa unapotaka chadema wasiende kumwona Rais, unataka waende msituni kupambana? Hiyo njia hatuipendi kwa faida ya watanzania. Hakuna utata wa mantiki.
Kila mtu hujiita msomi humu jamvini lakini kwa usomi ulionao wewe inaonyesha ni kihiyo au ulikuwa unakariri sana kiasi cha kutoelewa kabisa. kama hujui hata utaratibu wa kuandaa katiba bora naomba uache kusoma vitabu vya falsafa anza kusoma vitabu vya sheria ya katiba (constitutional law) Huko utapata pia kujua mchakato wa katiba bora unakuaje.Kuna wakati ni vigumu kumuelimisha asiye tayari kuelimika.,lakini nitajitahidi hasa kwa wale waliotayari kuelewa uhalisia wa mchakato wa katiba.,naanza kwa utambuzi wa ninaotarajia kuwaelimisha.,nikianza na wewe hasa ktk kauli yako ya JK kuongoza nchi "hovyohovyo" nipe vigezo vikuu vitatu.
Hatuwezi kukubali mabadiliko na kisha kupinga chanzo cha mabadiliko hayo, ukifanya hivyo utajiingiza ktk utata wa kimantiki- ni kauli niliyowahi kuisoma katika moja ya vitabu vya falsafa nilivyowahi kuvisoma.,ni kauli inayotokana na mmoja wa magwiji wa falsafa duniani na waasisi wa somo hillo.,socrates..,ni wazi kuwa alikuwa anamaanisha ni vigumu kwa watu wenye ufahamu wa mambo kupinga mamlaka na nafasi ya JK kama Rais na kisha kukubali kuwa anayo nafasi ya kufanya maamuzi juu ya mchakato wa kikatiba.
hakika huu ni utata...!
Mbona hamkwenda kumuona rais alipokataa bajeti zenu mbadala?Chadema siku zote wanapenda amani, hawakuwahi kutafuta vurugu. Wametoa maoni yao Bungeni kwa njia ya hotuba ya msemaji wao - Lissu, hawakusikilizwa.
Sasa wanajaribu second option, ya kumshawishi JK kwa faida ya watanzania kwamba asisaini mswada huo ili kupata mwafaka wa Kitaifa na kisha kupata katiba ya kitaifa.
Ifahamike, mchakato huu uliokwishapingwa na wasomi, wanaharakati na chama kikuu cha upinzani hauwezi kuacha kuleta vurugu JK asipowasikiliza. Chadema wanasaka amani. Utata wa kimantiki sijauona.
Mamlaka ya JK yanayopingwa ni yale aliyopewa na mswada mpya wa mabadiliko ya katiba, siyo mamlaka aliyopewa na katiba hii mbovu.
JK bado ni rais hata kama urais wake umepatikana kwa njia tata kwa mujibu wa katiba yetu mbovu.
Huwezi kumkana baba yako aliyekuzaa hata kama baba yako huyo alimbaka mama yako. Huna namna, japo kuwa hupendi ubakaji. Katiba mbovu ndo imeshamweka japo kwa kubaka demokrasia, sasa unapotaka chadema wasiende kumwona Rais, unataka waende msituni kupambana? Hiyo njia hatuipendi kwa faida ya watanzania. Hakuna utata wa mantiki.
Mbona hamkwenda kumuona rais alipokataa bajeti zenu mbadala?