Chadema na ushindi wa kisayansi

Chadema na ushindi wa kisayansi

baba mtokeaji

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
8
Reaction score
1
kunapotokea mpambano wa mafahali wawili lazima mmoja akishindwa huleta visingizio kibao. Chadema imapoingia vitani hutumia mbinu nyingi zikiwemo halali na haramu, kuna wengine watapinga kuwa chadema hawatumii mboinu haramu, lakini ukwel wanaifahamu mwenyewe. Mara nyimgi chadema wanaposhindwa huja na visingizio kibao ikiwemo ushindi wa kisayansi, kiukweli kama umesafiri sehemu ambapo huna watu unaofahamiana then ukapata watu wa kukusapoti ni dhahiri kwamba utakuwa na uwezo mkubwa wa ushawishi na kujamiana na jamii, hivyo basi kura 5000 kwa 22000 kiuhalisia sio ushindi bali ni mtaji ambao chadema wangeutumia kujiimarisha jimboni na si kusema wameshinda kisayansi huku wakiondoka jimboni bila mikakati madhubuti ya kuzilida hizo kura 5000 na kuhakikisha wanaongeza zingine 22000. kazi kwenu wanachadema.
 
mkuu kuna habari nyingine umechanganya kilugha. Na kwa bahati mbaya sana lugha uliyotumia iwe ni ya kinyumbani, kwa kiswahili ina maana ambayo inaleta ukakasi, mpaka inaharibu ujumbe wako. Lakini kwa ushauri wa bure ungetumia kiswahili ungeeleweka vizuri. au umeandika kimakosa?

Tatizo chama kinapenda kejeri pale wanapokosa ushindi, utawasikia oh Kalenga kumejaa wajinga wasiojua mabadiliko, mara kule mambumbu wengi na wanawaza ulanzi tu, wakati huo mtaji wa kura 5000 ungetosha kabisa kua mwanzo mzuri kwa uchaguzi ujao. Mfano kila mmoja akihamasisha wanyake 10 inamaana watu 50,000 wangeweza kuwapigia kura siku zijazo, sasa ni nani atawaelewa wakati wao wamezoea matusi tu.
 
Bila kukitaja chama dume basi Lumumba siku haipiti.
 
Sijaona kama umeandika kitu tofauti..wa bongo kama akili zetu zinalingana vile
 
Lumumba wanahaha kweli kweli na makamanda. Subirini tu muungano kwanza uwatoe jasho ndipo mtaisoma namba.
 
Mtoa mada anawaasa kura zenu 5,000 zizae nyie mnamtukana, heshima iko wapi hapo.
 
Back
Top Bottom