CHADEMA na usafiri

habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Naomba kuwasilisha.

spea za kichina ziangaliwe kwa jicho la pili....
 
wao chombo chao kinakaguliwa na wakaguzi makini kwa hiyo hamna hofu yoyote labda magamba watutungue

habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Naomba kuwasilisha.
 
Inasemekana Siku hiyo mwaka 1984, Hayati Edward Moringe Sokoine, alikataa kusafiri kwa Ndege kurudi Dar es Salaam akitokea kwenye mkutano wa Bunge Dodoma.

Kufika Kongwa, akakutana na PAJERO ya Dubisan Dube, mpigania uhuru kutoka South Africa,... BANG!!!!
 
Back
Top Bottom