salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Kwa hiyo ulitaka na maspika wabebe begani au? halafu picha ni hizi hizi tangu mwaka jana kila thred huna jipya?Hatimaye chadema wamekuja na mbinu mpya ya kujaza watu kwenye mikutano yao,aidha Maroli na Mabasi yanatumika kuwasafirisha wafuasi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenye tukio katika siku husika.Hakika huu ndo ubunifu walionao,japo pia wameongeza kiwango cha posho kwa wafuasi wanaofika mikutanoni.