lacuna
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 653
- 168
Hatimaye CHADEMA wamekuja na mbinu mpya ya kujaza watu kwenye mikutano yao,aidha Maroli na Mabasi yanatumika kuwasafirisha wafuasi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenye tukio katika siku husika.
Hakika huu ndo ubunifu walionao,japo pia wameongeza kiwango cha posho kwa wafuasi wanaofika mikutanoni.
Hakika huu ndo ubunifu walionao,japo pia wameongeza kiwango cha posho kwa wafuasi wanaofika mikutanoni.