Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 836 Oct 15, 2012 #1 Wapendwa wa nachadema ninaomba ikiwezekana tuwaombe viongozi wetu wa cdm wajipange kuanzisha kituo cha television.kituo chenyewe kitatumika kujitangaza sababu tv ya taifa inabagua,, nawakilisha je mnasemaje?
Wapendwa wa nachadema ninaomba ikiwezekana tuwaombe viongozi wetu wa cdm wajipange kuanzisha kituo cha television.kituo chenyewe kitatumika kujitangaza sababu tv ya taifa inabagua,, nawakilisha je mnasemaje?
A assuredly4 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,216 Reaction score 220 Oct 16, 2012 #2 good idea, kwani ukitaka kujikomboa sharti ujenge tabia ya kujitegemea katika kufanya mambo yako
K Kifarutz JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 1,736 Reaction score 360 Oct 16, 2012 #3 hiyo topic yako inaonyesha chadema tayari wana tv yao,unaonaje ukija kivingine?
K kyojo Member Joined Mar 14, 2012 Posts 91 Reaction score 11 Oct 16, 2012 #4 hili mbona si jipya tena kuongelewa humu ndani tokea uchaguzi mkuu uliopita na bado hakionekani chochote?
hili mbona si jipya tena kuongelewa humu ndani tokea uchaguzi mkuu uliopita na bado hakionekani chochote?