...inaitwa futa, delete ccm 2015...
Sijaiona hyo weka picha
.... Itv Taarifa Ya Habari
Nmechek itv halafu mtangazaj nae alinogewa aliiacha mda mrefu sana
Sijaiona hyo weka picha
wewe ni kati ya vijana waliotia aibu siku ya leo .Hivi babu ule mkono alikula kipondo cha ffu ulishapona?
Alaaa ! kumbe ndiyo hivyo ? asante mkuu kwa ufafanuzi wa kina .Ukiona chadema wanafanya hivyo basi ujue wanamaanisha 'Delete futa kabisa ccm' na ukiona ccm wanafanya hivyo ujue wanawaaga wananchi maana ndio mwisho wao na chama chao.
Mbona mikutano ya ayatola watu walikuwa wamenywea kama wamemwagiwa maji. Nasikia walikuwa wanaletwa, ukiona cdm watu wamehamasika unajua mtu kaja mwenyewe