wewe mwezetu haupo dunia hii labda upo ahera, aliambiwa atoke hadharani ajibu hoja na amefanya hivyo, bei ya sukari imeshushwa, bomoa bomoa imesitishwa, wastaafu wa jumuiya ya Africa Mashariki ameagiza walipwe mafao yao. sasa wewe unataka nini? wakati sasa hivi Kikwete amekubali kimsingi kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya CHADEMA, sasa wewe hapo kinakuuma nini?
Maandamano lazima yaendelee ili tuweze kutoa madai mengine ambayo yanahitaji utekelezaji Tz. Bila hivyo Kikwete atatulia tu Ikulu bila kuwajibikaDuuu, sasa maandamano mengine ya nini kama serikali imetekeleza matakwa ya chadema? ni uchokozi basi
Duuu, sasa maandamano mengine ya nini kama serikali imetekeleza matakwa ya chadema? ni uchokozi basi
wewe mwezetu haupo dunia hii labda upo ahera, aliambiwa atoke hadharani ajibu hoja na amefanya hivyo, bei ya sukari imeshushwa, bomoa bomoa imesitishwa, wastaafu wa jumuiya ya Africa Mashariki ameagiza walipwe mafao yao. sasa wewe unataka nini? wakati sasa hivi Kikwete amekubali kimsingi kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya CHADEMA, sasa wewe hapo kinakuuma nini?
Maandamano lazima yaendelee ili tuweze kutoa madai mengine ambayo yanahitaji utekelezaji Tz. Bila hivyo Kikwete atatulia tu Ikulu bila kuwajibika
Babu wa Loliondo, kawaokowa... (media mindset) Muulizeni Kikwete alikukuwa hapati usingizi. Oh! Matatizo siwezi kuyamaliza mara alianza nyerere, mwny na mkapa, MBONA SUKARI IMESHUKA? wange acha waone!
Majibu marahisi kama kawaida yetu..
Duuu, sasa maandamano mengine ya nini kama serikali imetekeleza matakwa ya chadema? ni uchokozi basi
wewe mwezetu haupo dunia hii labda upo ahera, aliambiwa atoke hadharani ajibu hoja na amefanya hivyo, bei ya sukari imeshushwa, bomoa bomoa imesitishwa, wastaafu wa jumuiya ya Africa Mashariki ameagiza walipwe mafao yao. sasa wewe unataka nini? wakati sasa hivi Kikwete amekubali kimsingi kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya CHADEMA, sasa wewe hapo kinakuuma nini?
Duuu, sasa maandamano mengine ya nini kama serikali imetekeleza matakwa ya chadema? ni uchokozi basi
Wataenda mbeya kumpongeza Kikwete kwa kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania...usiumize kichwa na hawa jamaa mkuu, ni kundi la losers wasio na akili.
Kikwete ndiye ametuchokoza kwa kutudanganya na maisha bora kwa kila Mtanzania
Duuu, sasa maandamano mengine ya nini kama serikali imetekeleza matakwa ya chadema? ni uchokozi basi
Siku tisa?hapakuwa na lolote maneno na blah blah za wachonga ngega tu. Matatizo hayeshi kwa siku hizo.Hiyo Avatar yako nimeipenda