Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Chadema kwa sasa ndiyo chama kinachofanya siasa bora kwa kuamini kuwa tofauti za itikadi uishia kwenye uwanja wa kampeini,hapa chini ni wanachama wa ccm walio telekezwa na malori yao mara baada ya kufanya mikutano yao na kwa bahati wanachadema wakawakuta na kuwaokoa kwa kuwapakia kwenye gari la chama cdm na kurudi nao makwao.lk hali huwa tofauti sana kwa wana ccm kuwasidia wapinzani wao
In God we Trust
In God we Trust