Chadema na Oparation Sangara


Asante kwa taarifa:clap2:
 

Non sense! Kuanza kazi kwa CHADEMA hakuzuii vyama vingine kufanya shughuli zao za kichama na/au kisiasa.

As a matter of policy, Kila chama ni chama pinzani cha chama kingine chochote!
 
Natamani kuungana na CDM kufanya siasa. Nafikiria kuwa mwanachama wa chama cha siasa kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nitakuwa mwana-CDM.
 
Natamani kuungana na CDM kufanya siasa. Nafikiria kuwa mwanachama wa chama cha siasa kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nitakuwa mwana-CDM.
Karibu maana ni kuzuri na panaaminika. Na ndio chama pekee cha uhakika kilichobaki Tanzania.
 
PakaJ, haya maneno yamefanya siku yangu ya leo niione imeanza vizuri. Mwendo mdundo.
 
Chadema mwendo mdundo,komesha mafisadi. mie nachosubiri ni maandamano na mkutano mkubwa wa kutueleza ukweli wananchi kuhusu sakata la Arusha baada ya tar 14 kwani najua kwa ubepari wa CCM watamsimamisha Lema vikao vitano.nami ntapenda wananchi tumpokee kama shujaa kwa kuthubutu kusema ukweli. Peoples....Power!
 
Nivema kuhakikisha wanafika ktk mashinani,kwa mbinu na mkakati madhubuti CDM mabadiliko ya kweli yanawezekana sana sasa elimu kwa raia ni muhimu.
 

Thanx for the info...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…