Peopleeeeeeee!!!!!!
Habari zenu wananchi wenzangu!!
Naipongeza sana Chadema kwa mafanikio iliopata kwenye Majimbo mbalimbali hapa Nchini..Hii inaonesha jinsi gani chama kimevuka malengo yake .napenda pia kuipongeza serikali ya awamu ya tatu kwa kua wastaamilivu wa Democrasia kwa kutopora ushindi wa vyama vya upinzani kama ilivyo zoeleka..pongezi nyingi zikuendee Jakaya Mrisho Kiwete kwa kulisimamia suala hili japo kidogo..
Ndugu zangu wa chadema na vyama vingine vya Upinzani napenda kuwakumbusha kua wakati wa kujiandaa kwa ajili ya Uchaguzi ujao ni sasa..Oparation Sangara imetusaidia sana Chadema naomba chonde chonde tuianzae mapema MWAKANI ili 2015 tumng'oe MFALME DAUD..
Shukaran kwa wananchi kwaa kuichagua CHADEMA!!
mkuu,Lini hasa mnategemea kuzindua awamu ya pili ya OPARESHENI SANGARA NCHI NZIMA????? hAKIKISHENI ccm HAWAPATI HATA SEKUNDE YA KUPUMUA HATA KIDOGO..
Sounds like cra.p!Mfahamu pia kuwa hamtakuwa wenyewe wenye mikakati hiyo
CUF,CCM na NCCR pia wanafikiria kufika vijijini na kwa watu wengi as possible
Tahadhdari: Mkishindwa mkubali kwakuwa wote tunafanya kazi hiyo ok!
Siyo muanze kulia foul play ok..padre slaa
Sounds like cra.p!
Na imeandikwa na mtu ambaye kichwa hakina mawasiliano na kiwiliwili!