Bidyabalevya, mmesha ambiwa kulikua nashughuli mbili. ya uzimaji mwenge na kumbukumbu ya baba ww taifa serikari ilia muakufanyazote kwa pamoja. Mbona Wewe na mwenzako maboso mnalazimisha Kuwa Msigwa alienda kwaajili ya Mwenge wakati si kweli. Mnaanza kuonyesha Mnachuki tu ninyi.