CHADEMA na Lowassa, mtapeli na mtapeliwa

4;Hivi unapozungumzia waliotufikisha hapa tulipo unamuachaje

Lowasa
Sumaye
Kingunge?

Leo hii hao si ndio wamekuwa mashujaa na makamanda?

Acheni unafikiri nyie majuha.
Duh sasa chama na watu kipi kikubwa??? Mfumo wa Ccm unabidi ufumuliwe hao uliowataja wamehama wakiamini kweli ccm imwoza ssa waliobaki wanaamini ccm ni safi ssa je kuungana nao waliobaki huoni ni kuhalalisha uhuni wa CCM
 
Mimi nilisha iipuuza cdm mda mlefu sana,Kama kina miaka 20 hakiwezi kuandaa mgombea uraisi bado wapuuzi Fulani wanasema eti chama,hilo ni kikundi cha kusubiri makapi ya ccm,
 
Ukiiangalia hiyo picha utaona nikiasi gani jinsi viongozi wa cdm walivyofedheheka kwakuwa na lowasa .

Ona prof Safari kajiinamia.

Ona msigwa

Ona Dr slaa. Hatari
Mkuu Ogopa sana kitu njaa, waliomwita fisadi miaka nane mfululizo sasa wanamuona Malaika mgawa rizki. halafu leo wanajifanya wakipewa uteuzi na magufuli wataukataa!! Thubutuu!!wangekuwa na uwezo wa aina hiyo wangemkana lowasa aliyekuja chafua haiba ya chama chao.
 
Umeongea MKUU,ni manyumbu tu ndio wanoweza kutapeliwa na Hawa Jamaa,

Nilikuwa mwanachama wao halali kabisa lakin nilipogundua kuwa ni washenzi wasio na dira nikaona nijitoe na kadi nikachoma.

Huwezi kujiita mpinzani halafu ukawa unategemea wale uliowapinga watibuane uwakaribishe wawe ma think tanker wa chama chako,.

Hii inaonyesha kwako kuwa huna dira na hakuna watu wa maana
 
Chadema nilikiamini na nilikitetea sana, lakini walipoanza siasa za kiini macho nikajiondokea zangu. chama kinaishi kwa kuamini kwenye unafiki, kinachosemwa sicho wanachokiamini. wanataka demokrasia lakini wenyewe wanajiendesha kiimra!
 
Mimi nilisha iipuuza cdm mda mlefu sana,Kama kina miaka 20 hakiwezi kuandaa mgombea uraisi bado wapuuzi Fulani wanasema eti chama,hilo ni kikundi cha kusubiri makapi ya ccm,
Nani hakuandaa mgombea urais?? Lowasa aligombea kwa makubaliano ya UKAWA yaani wale walioamua kuacha kugombea urais ndio waliridhia kma asingegombea basi angeweza kuendele Dr slaa ssa nani aliekwambia hatukua tumeandaa mgombea kabla lowasa hajaja??
 
Hao wakina kishoa wanaogongwa na Mwenyekiti kisha ndio wapewe nafasi??? ukiona kijana kapata nafasi CHADEMA aidha anagongwa na vigogo au ni nyumbu, lkn GENGE la Mbowe halihitaji vijana wa haiba ya Sosopi.

Huwez kutetea uhuni uliofanywa Nyasa na Mbowe kwa kisingizio cha maridhiano, tangu lini demokrasia inapasua chama? kwanini katiba ya chama iweke utaratibu wa uchaguzi alafu mtu mmoja tu aje na utaratibu wake kisa tu ni kigogo mwenye cheo na fedha.

Hivi Sosopi hata kama hajaridhika ana ubavu wa kusema kuwa hajaridhika? Kama Mbowe aliweza kuvunja katiba na kuzuia uchaguzi wa Nyasa kwa kutumia fedha zake na cheo chake, kwa kutumia hayo angeshindwa kumvunja Sosopi pia kama angekahidi??? Hivi wewe nyumbu hili hulioni??????
 
Mkuu mbona unajudhalilisha hivi?? Ndio umekuwa this low siku hizi?? Kma nyie ndio think tanks wa ACT basi upinzani una safari ndefu sana

Unasema kila kiongozi mpaka awe team mbowe sijui agongwe??? Hivi una ushahidi kuwa mbowe kalala na kila kiongozi wa chadema??? Au propaganda za CCM unahamishia ACT??? kma huna uthibitisho then ntakudharau sana

Unaposema mbowe hamuhitaji sosopi ssa ilikuwaje sosopi amekuwa makam mwenyekiti BAVICHA??? pia ilikuwaje akapewa nafasi ya kugombea ubunge ismani na kupewa baraka zote na mbowe unayemuita hamtaki???

Hakuna aliyeteta uhuni kwani nyie nafasi ya kiongozi mkuu wa chama mlifanya uchaguzi na zito mlimshindanisha na nani??? Ila ndio mnahoji udikteta kuwa upo chadema??? Kilichotokea nyasa ni maridhiano yaani unapoona wagombea wawili wana ushawishi mkubwa ambapo mmoja akianguka inaweza leta mpasuko basi unawaita mnakubaliana anasimama mmoja ili chama kiwe imara na sosopi aliridhia ssa ni lini mmekuwa wasemaji wake??? Hta kipindi zitto anagombea uenyekiti vs mbowe wazee wa chama waliwaita ili kuepusha mgawanyiko na kutaka agombee mmoja tu!!! Sasa kma chama mgombea ameridhia wewe ni nani kusema kaonewa sijui dikteta???

Ndio nasema sosopi hakulalamika nyie mnatoa wapi mdomo wa kusema kaonewa wakati kila siku yupo na mboww pale makao makuu??? Nakuwa sikuelewi kabisa!!! Waweza nitukana ni nyumbu its ok najua ni siasa tu ila nachojua 2020 utakuwa hapa kumnadi mgombea urais kupitia chadema!!! Reserve huu uzi ili siku ya kulamba matapishi tukumbushane povu lako hili wakati hta hujui kiongozi mkuu wako atakuwa mrengo gani 2020!!!
 
hapa huna ulichojibu,, unajuwaje pande zinalinga bila kupiga kura??? na kwanini chama kipasuke ikiwa katiba na kanuni za uendeshaji zikifuatwa??? wewe huoni kwa uamuzi wa Mbowe wa kumtaka Msigwa ulitikisa chama kiasi kanda kutaka kupasuka??? Ungefanyika uchaguzi wa kushinda kashinda na wa kushindwa kashindwa na kisha wapiga kura wangeridhika....

Na baada ya kupigiwa kura ya ndio/hapana kura alizopata Msigwa zilidhihiridha kuwa asingeshinda,,,, kura zilizo mkataa ukijumlisha na idadi ya watu waliogomea kupiga kura zinazidi idadi ya kura za ndio,,,hii ni dhahiri mwenyekiti wa nyasa ni mteule wa mbowe Kwa faida zake mbowe na si chama,,
 
KWA MFANO ANIPE JIBU MWANACHADEMA YEYOTE.KIPINDI CHA DKT SLAA.MPAMBANAJI WA KWELI.AJENDA KUU YA CHAMA ILIKUWA NI KUPINGA UFISADI.WIZI WA MALI ZA UMMA.NA MIKATABA YENYE KUINYONYA NCHI.JE KWA SASA AJENDA KUU YA CHADEMA NI IPI.WANA UKAWA NIPENI JIBU.
Wtakupa jibu gani wakati kila uchafu Wamebaki nao wao?
 

Anayekuita andunje hajakosea.
 
Inahitaji uwe na akili ya mtoto wa grade Iv kumwelewa mwenye mada hii,, THINK BIG BROTHER
1.UNAJUA WHY MUNGU HAMWONDOI SHETANI DUNIANI AU MIONGONI MWA WANAADAMU?
That is why CHADEMA MUST BE THERE,, A STRONGLY BEING!!!
2.JE WAJUA WHY MUNGU ALIWEKA MAMBO MAWILI KAMA MOJA KUWA MBADALA WA JINGINE PALE INAPOBIDI???
That is why Baada ya Mwalimu Nyerere, bado tuna Maraisi na nchi inasonga mbele,,hivyo hata bila ccm tutaendelea na kuwa HAI!!!!!!
THINK OUTSIDE SHELLS!!!!USIJIFUNGIE NA UKADHANI KILA MTU KAFUNGWA NA JUA YA KUWA USICHOKIPENDA WEWE USIMWILINGILIE AKIPENDAYE!!!!
 
Ukiiangalia hiyo picha utaona nikiasi gani jinsi viongozi wa cdm walivyofedheheka kwakuwa na lowasa .

Ona prof Safari kajiinamia.

Ona msigwa

Ona Dr slaa. Hatari
Hio picha nikiangalia mara mbii mbili inanipa wakati mgumu sana cheki msigwa kama anasubiri kwenda jandon alivyonywea
 
Ndio maana nikauliza zitto kabwe alishindana na nani kuwa kiongozi mkuu wa chama??? Embu tuanzie hapo kwanza na alipata kura ngapi dhidi ya wagombea wengine...... tuanzie hapo kwanza ndio nikueleweshe maana ya siasa za makundi
 
Wtakupa jibu gani wakati kila uchafu Wamebaki nao wao?
Ajenda gani chadema haina??? Hajui bado tunakemea ufisadi au hujasoma maoni ya KUB ya juzi tu hapa kwa wizara ya madini kuhusu mikataba ya kinyonyaji ???

Tunadai utawala wa kisheria yaani katiba ndio iongoze nchi sio mihemko ya mtu binafsi..... sio agenda??? Tungedai katiba mpya kma hatuna ajenda au dira???

Anyway kasome ilani ya chadema utaelewa agenda zetu zote ni zipi sio mnaropoka tu huku hamtaki kusoma chochote
 
Mpaka mtakapo rudisha ajenda ya kupambana na ufisadi ndio tutawaelewa. Siyo vinginevyo
 
Mpaka mtakapo rudisha ajenda ya kupambana na ufisadi ndio tutawaelewa. Siyo vinginevyo
Agenda imeisha lini kwani?? Mdee alipopiga kelele kuhusu UDA alikuwa anasimamia ajenda gani?? Mnyika hotuba ya juzi kabisa hapa hta wiki haijamaliza alikuwa anaongelea nini?? Ufisadi umeisha lini?? Ripoti ya CAG kwani hukuisoma???

Kma mnataka amsha amsha basi ruhusuni mikutano ili wakajilipue maana mlizoea kwenye mikutano ya kisiasa tu ssa mmezuia sahvi tunaongelea bungeni!!! Ssa ni lini ajenda ya ufisadi imeisha ?? Kwani mikataba mibovu au wahusika wakuu wa wizi mmewakamata kuanzia richmond mpaka bandari???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…