Addis Ababas
JF-Expert Member
- Aug 5, 2018
- 351
- 353
Chadema:
(1) tunataka haki
(2) tunataka uhuru
(3) usawa
(4) democracy ya kweli
(5) uhuru wa kusema, kuandamana nk
SAWA. Hayo wanayataka, wanayapigania... Kutoka kwa nani? Serikali, kutoka kwangu na wewe
Swali ni je, Chadema nao wanatambua kuwa wanatakiwa kutoa haki kwa wengine, democracy ndani ya chama chao, usawa, uhuru nk? Kwa nn wao hawataki kusemwa, kudaiwa? Chacha Wangwe msaliti, Zitto amenunuliwa, ukiwahama vita ukihamia mkombozi...
Jamani democracy ni pande zote, kila mtu na kila mahali