CHADEMA na Katibu Mkuu mfu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Kiukweli huyu katibu mkuu hajui hata pa kuanzia Chama kinaonesha dalili za kuifuata TLP na UDP sioni harakati zake ki ukweli CHADEMA ilikosea sana Dr. Mashinji ni unpopular figure hata akitembea kwa miguu Karikoo hakuna wa kumshitukia kuwa ni kiongozi.

Ukimya wake ni hatari kwa mustakabari wa chama kwani watu wasiokuwa na vyeo kama akina Lowassa ndo wamekuwa msaada mkubwa kukisemea chama kwa sasa. Anaonekana kabisa ni uteuzi ambao ulikosewa na ni mtu asiyekua na ushawishi ndani ya chama.

Kutoka kwenye nchi ya viwanda mpaka nchi ya majipu alikuwa ana mengi ya kuongea lakini yupo kimyaa wakisubiri kuzungusha mikono mwaka 2020.

Huku serikali ya Magufuli ikijisafishia njia inaonekana haitapata upinzani mwaka 2020 kutokana na uchakavu wa CHADEMA.

Namalizia:

Lowassaaaaa-Mabadilikoooo-Mabadilikoooo?--Lowassaaaa
 
Kwa hiyo mtu asipokuwa mtu wa media anakuwa mfu??

Filip Mangula ni nadra sana kusikika kwenye vyombo vya habari, je naye ni mfu??

Nape Nauye kila baada ya dakika tatu yuko hewani, je naye ni mchapa kazi??
Unajifananisha na walioko Madarakani?
 
................Kiukweli huyu katibu mkuu hajui hata pa kuanzia Chama kinaonesha Dalili za Kuifuata TLP na UDP sioni harakati zake Ki ukweli CHADEMA ilikosea sana Dr. Mashinji ni Unpopular figure hata akitembea kwa miguu karikoo hakuna wa kumshitukia kuwa ni Kiongozi.

Ukimya wake ni hatari kwa Mustakabari wa Chama kwani watu wasiokua na Vyeo kama akina Lowassa ndo wamekua msaada mkubwa kukisemea chama kwa sasa. Anaonekana kabisa ni uteuzi ambao ulikosewa na ni mtu asiyekua na Ushawishi ndani ya Chama.

Kutoka kwenye nchi ya Viwanda mpaka Nchi ya Majipu alikua ana mengi ya kuongea lakini yupo kimyaa wakisubiri Kuzungusha mikono mwaka 2020.

Huku serikali ya Magufuli ikijisafishia njia inaonekana haitapata upinzani mwaka 2020 kutokana na Uchakavu wa CHADEMA.

Namalizia:

Lowassaaaaa-Mabadilikoooo-Mabadilikoooo?--Lowassaaaa
Wewe siyo Chadema. Sasa kama KM wao ni mfu si ndiuo furaha yako? Hivi mtu hata kama huna jambo la maana la kuposti ni lazima uposti hata ujinga? Ebu eleza mara ya mwisho KM wa CCM alipoongea na aliongea nini. Hata kama mnalipwa kwa kutukana upinzani, akili na busara vitumike.
 
Kabisaa mkuu,jamaa haonesh mikakat yoyote.Hakika tutamkumbuka saana doctor wa Mihogo
 
...Kiukweli huyu katibu mkuu hajui hata pa kuanzia Chama kinaonesha Dalili za Kuifuata TLP na UDP sioni harakati zake Ki ukweli CHADEMA ilikosea sana Dr. Mashinji ni Unpopular figure hata akitembea kwa miguu karikoo hakuna wa kumshitukia kuwa ni Kiongozi.

Ukimya wake ni hatari kwa Mustakabari wa Chama kwani watu wasiokua na Vyeo kama akina Lowassa ndo wamekuwa msaada mkubwa kukisemea chama kwa sasa. Anaonekana kabisa ni uteuzi ambao ulikosewa na ni mtu asiyekua na Ushawishi ndani ya Chama.

Kutoka kwenye nchi ya Viwanda mpaka Nchi ya Majipu alikua ana mengi ya kuongea lakini yupo kimyaa wakisubiri Kuzungusha mikono mwaka 2020.

Huku serikali ya Magufuli ikijisafishia njia inaonekana haitapata upinzani mwaka 2020 kutokana na Uchakavu wa CHADEMA.

Namalizia:

Lowassaaaaa-Mabadilikoooo-Mabadilikoooo?--Lowassaaaa

wenzio wanahangaika na kutafuta ufumbuzi wa namna ya kunywa chai wewe umeamka na katiba tu.

VIPI TATIZO LA SUKARI BIA NIMEACHA HATA CHAI NAYO NIACHE?
 
Chai siyo Basic needs hakuna Mtu amewahi kufa kwa kutokunywa Chai.
 
hata kushindwa kwa chadema hakuwezi kukasababisha watu kufa ushawahi kusikia chadema imeshindwa halafu watu wakafa?

pia unawadhihaki wa tz unapoongea sukari si muhimu jitathmini kana unafaa kuwa mwanadamu mwenye uwezo wa kifikra na mawazo chanya yenye tija kwa taifa.
 
Nikikumbuka ulivyokua unazungusha mikono!
 
Ukweli usemwe tu.. Huyu katibu mkuu ni mzigo.. Bunge haliendi live yupo kimya tu.. Sukari 3000 bado kakaa kimya tu.. Bora wangempa Salum Mwalimu lakini huyu waliyemleta ni mzigo na atakididimiza chama
 
...Kiukweli huyu katibu mkuu hajui hata pa kuanzia Chama kinaonesha Dalili za Kuifuata TLP na UDP sioni harakati zake Ki ukweli CHADEMA ilikosea sana Dr. Mashinji ni Unpopular figure hata akitembea kwa miguu karikoo hakuna wa kumshitukia kuwa ni Kiongozi.

Ukimya wake ni hatari kwa Mustakabari wa Chama kwani watu wasiokua na Vyeo kama akina Lowassa ndo wamekuwa msaada mkubwa kukisemea chama kwa sasa. Anaonekana kabisa ni uteuzi ambao ulikosewa na ni mtu asiyekua na Ushawishi ndani ya Chama.

Kutoka kwenye nchi ya Viwanda mpaka Nchi ya Majipu alikua ana mengi ya kuongea lakini yupo kimyaa wakisubiri Kuzungusha mikono mwaka 2020.

Huku serikali ya Magufuli ikijisafishia njia inaonekana haitapata upinzani mwaka 2020 kutokana na Uchakavu wa CHADEMA.

Namalizia:

Lowassaaaaa-Mabadilikoooo-Mabadilikoooo?--Lowassaaaa
Niapema mno kuanza kutabiri ya 2020, katika siasa lolote laweza kutokea na kubadili sura ya mchezo, siasa ni mchezo wa makosa, na mtu yeyote makini huusoma kwanza mchezo yaani akitafuta makosa kabla hajaanza kuyatumia makosa hayo kutafuta bao, naona huyu katibu hajachelewa labda anausoma mchezo
 
Ukweli usemwe tu.. Huyu katibu mkuu ni mzigo.. Bunge haliendi live yupo kimya tu.. Sukari 3000 bado kakaa kimya tu.. Bora wangempa Salum Mwalimu lakini huyu waliyemleta ni mzigo na atakididimiza chama

Wakisema yanatekelezwa? Yote matamko yangekuwa yanafanyiwa kazi bas usingesikia neno majipu.

Saiv wanazichora sarakasi za serikali ya ccm
1462435109196.jpg
1462435109196.jpg
 
Mimi Nilishawaambia Katibu Mkuu wao Ni Kibaraka Wetu Yaani Kama Nyange Kaburu Pale Simba Ni Kibaraka Wa Yanga.
 
Back
Top Bottom