Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Hivi majuzi nimebahatika kutembelea wilaya ya Uvinza kikazi, nikiri tu ule mwamko wa wananchi kuunga mkono vyama vya upinzani umekufa kabisa. Kafulila yule tuliyemfahamu ni kama kajizika kisiasa baada ya kuhamia Chadema, yaani kwa sasa si Kafulila wala Chadema au NCCR-Mageuzi katika wilaya ya Uvinza.
Kwanini imekuwa mapema hivi?
Kwanini imekuwa mapema hivi?