walikua hawana,ben ali wa tunisia katawala miaka 25, mubarak wa misri alitawala miaka 29 na gadafi ametawala miaka 41, na ali muhammad saleh wa yemen ametawala miaka 31 hapo utaona kuna tofautikubwa sana na tzania mwinyi katawala miaka 10,mkapa miaka 10,na jk miaka 6 tu nakunakua na uchaguzi kila baada ya miaka 5 hapo pima na utaona tofauti.kwani Misri walikuwa hawana utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila baada ya miaka mitano? Au Tunisia? au Yemen?
amekusudia vitongoji mkuu,au amekukwaza ndio ukaona umpige ktk hilo?Vitongozi ndo nini?
Kufanya maandamano katika vitongozi mbalimbali vya mji wa Mwanza na kisha leo kuhamia Musoma ili kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha, malipo ya dowans nk ni kufuata philosophy isiyofahamika. Warabu ni watu makini sana, wao wamefanya maandamano kudai matango tu baada ya miaka mingi ya utawala na hali isiyombaya ya uchumi.
Chadema wanachofanya sasa ni kuiga falsafa ambayo haiwezi kufanya kazi bongo. Tanzania ni nchi iliyojiwekea utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila miaka 5.
Nawashauri CDM wasubiri 2015 vinginevyo watapoteza MVUTO.
Werevu hawawapati hata siku moja. CDM bado mnahitaji miaka mingi ya KUNYONYA kabla ya kupewa nchi. Hii nchi tuna uchungu nayo sana hatuwezi kuwapa kirahisi.

Chadema wameanza kuitumia Falsafa ya Nguvu ya Umma tangia uchaguzi wa mwaka 2005 mie hapo ndo nilianza kusikia rasmi neno People's power kipnd hicho Mbowe ndo alikuwa mgombea Urais kupitia CDM.Katika uchaguzi uliomalizika mwaka jana Falsafa hii ya Nguvu ya Umma ilitumiwa na CDM na wote tumeshuhudia ufanisi wake kama sio Kuchakachua hata Urais tungekuwa tunaongea mengine.Wasomi historia za nchi za kiarabu tangia enzi za manabii, ndio watakapo jiona Tanzania ni tofauti kabisa na nchi hizo, CHADEMA MMECHANGANYIKIWA VIBYA sana , Mungu awarehemu !

hebu tuambie hao mabwana zako wanakulipa sh ngapi kwa kuweka thread zako za kipuuzi humu,umetumwa wewe sio bureNawasubiri mkuu, hiki kichwa halafu ni charitable
Kufanya maandamano katika vitongozi mbalimbali vya mji wa Mwanza na kisha leo kuhamia Musoma ili kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha, malipo ya dowans nk ni kufuata philosophy isiyofahamika. Warabu ni watu makini sana, wao wamefanya maandamano kudai matango tu baada ya miaka mingi ya utawala na hali isiyombaya ya uchumi.
Chadema wanachofanya sasa ni kuiga falsafa ambayo haiwezi kufanya kazi bongo. Tanzania ni nchi iliyojiwekea utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila miaka 5.
Nawashauri CDM wasubiri 2015 vinginevyo watapoteza MVUTO.
Werevu hawawapati hata siku moja. CDM bado mnahitaji miaka mingi ya KUNYONYA kabla ya kupewa nchi. Hii nchi tuna uchungu nayo sana hatuwezi kuwapa kirahisi.
Hebu muuleze na UGIRIKI(GREECE) vilevile ndo waasisi wa hzo siasa na sio hao anaowafikiriKwanza kabisa umepotoka vibaya sana unaposema 'falsafa za Waarabu'. Hizi si za Waarabu, hazikuanzia kwao. Nchi za Ulaya Mashariki kama vile Romania Czechoslovakia, Hungary, Ujerumani ya Mashariki, Poland etc walichukuwa hatua kama hizo kujikomboa na wakashinda.
Halafu kulikuwa nchi kama Philippines (alipong'olewa dikteta Marcos) na Indonesia (alipotimuliwa Dikteta Suharto)wa maandamano tu. Zote hizi hazikuwa nchi za Kiarabu. sitaji Iran alipotimuliwa Sha kwa maandamano, kwani baadhi yenu mtasema Wairani ni Waarabu.
Kwa ujuma hujui chochote unachokisema, unabahatisha bahatisha tu. So sad!!!!! Sijui elimu yako imekaaje vile?
ndugu yangu katiba haiko juu ya wananchi, wananchi wako juu ya katika. hakuna kitu kama katiba inasema hivi au vile ilimradi wananchi waamue. hata misri kuna katiba na uchaguzi wao ulikuwa ufanyike septemba mwaka huu lakini peoples power imesitisha kwa muda katiba hadi hapo baadae. Wnanachi wanauwezo wa kuipigisha maktaimu katiba. sawa sawa.Sababu naona chama pekee cha upinzani ambacho kimeshikia bango hili suala ni CDM ndio nilikuwa nataka kujua ni katiba gani itawapatia madaraka kama JK akianguka?
Kufanya maandamano katika vitongozi mbalimbali vya mji wa Mwanza na kisha leo kuhamia Musoma ili kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha, malipo ya dowans nk ni kufuata philosophy isiyofahamika. Warabu ni watu makini sana, wao wamefanya maandamano kudai matango tu baada ya miaka mingi ya utawala na hali isiyombaya ya uchumi.
Chadema wanachofanya sasa ni kuiga falsafa ambayo haiwezi kufanya kazi bongo. Tanzania ni nchi iliyojiwekea utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila miaka 5.
Nawashauri CDM wasubiri 2015 vinginevyo watapoteza MVUTO.
Nyerere keshakufa hana msaada wowote kwa sasa. Au unaabudu MAKABURI?