KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
- Thread starter
-
- #121
Mbona hili la ndoa linaongelewa sana mbona kuna halmashauri kama ya Kigoma ambayo CDM ilifunga ndoa na CCM. Au CDM kwa sasa wanamtamani bwana wao wa zamani? hivyo wana wivu?
sidhani kama iko ni igezo cha kuhalalisha dhana yako,unajuaje kwamba wale wote wanaovaa hivyo ni waislam,kwani hata papa benedict wa vatican pia mavazi yake ni hayo,mi nadhani dini inakaa moyoni sio kwenye mavazi,ukienda egypt kuna wakristo wanavaa kanzu..pengine tuelewane hapa kanzu ni utamaduni tu wa waarab haina uhusiano na dini ni kama khanga kwa wabongo.Zipo nchi za kiislam lakini hawavai kanzu wakienda msikitini,mfano uturukiCUF ni chama cha kidini na CHADEMA chama cha watu wanaopenda mabadiliko.Ukitaka ushahidi angalia wakati wa mikutano,CUF utaona vibarakashia,kanzu,hijabu na baibui nyingi,wakati CHADEMA ni mixture.
mtu mwenyewe hata bado hujamaliza siku zako ndani ya jf unaanza matusi,nakutabiria kifo cha mapema mno humu jamvini,anywayz karibu,kama wewe ulivyo jf ndivyo ilivyo,ni kama kioo ukicheka nacho kinacheka!you are a d.o.g among the fox.nafikiri tangu jf imeanza ww ndo umeboa mno.RIP SOON na mawazo ya kifaaaaaaaala
Mkuu wangu sometimes unachemkaga mbaya! Hebu lijuze jukwaa hili ni lini na wapi "Padre" Slaa, Mchungaji Msigwa, au Mchungaji Rwakatare walisimama jukwaani kwenye mikutano ya hadhara kuombea mikutano ya vyama vyao.
Nasikitika kucoment hapa lakini naomba nitoe ushauri. CHADEMA hatuna haja ya kucoment kwenye upuuz huu.
Mkuu huu sio wakati wa kushindanisha vyama kwa maneno wakati muafaka ni 2015. wakati huo tutalinganisha CCM na TLP au TPP maendeleo
uamsho ndio mashuhuri