KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???
matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".
Mkuu huu sio wakati wa kushindanisha vyama kwa maneno wakati muafaka ni 2015. wakati huo tutalinganisha CCM na TLP au TPP maendeleo
Hapo kwenye red tu ndio pana kaukweli fulani
Akili za kuku!!
when nothing goes right....go left!I knew you would come in this style, but you are an inch better than that!
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???
matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".
Yote hayo si makapi ya CCM? teh teh tehmanake hawataki kuungana kila mmoja anajidai mkubwa na anajiweza kuliko mwenzie ndio mana nikaitisha kura ya maoni hii isiyo rasi ili tujue then tuwafahamishe,wnatakiwa kujipanga kuanzia sasa kwa ajili ya 2015
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???
matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".
kwanini chadema hampendi kuwa tested?mnapenda kusifiwa tu,mtaitawala hii nchi kidikteta nyie watu tukiwapa ridhaasijaona jitihada uliyoitumia ili usikejeliwe.
ukitulia na kusoma vizuri kwa kituo utagundua kwama umadandia mada bila kuielewa,yani umekurupuka kiufupi,hakuna mahali niliposema kwamba ni mimi ndio ninaesema bali nilichosema ni wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaanzia namanga na kuishia njia panda ya HimoKumbe Ilemela,Nyamagana,Ukerewe,Singida mash,Shinyanga,Mbeya mjini,Mbozi,Iringa mjini,kigoma,Ubungo,kawe nk.haya maeneo yapo kati ya Namanga na njia panda Himo?bora umenijuza mkuu maana Jiografia imenipitia kushoto.
Chama maarufu ni kile ambacho kwenye mikutano yao huhimiza dini fulani tu kujiunga nao na kuwaswaga nje dini zingine au wasio na dini almaarufu "makafir".
Chama maarufu ni kile ambacho hukodi "mchungaji" feki akapanda jukwaani kudharau imani zingine huku wafuasi wa chama hicho wakishangilia na kumpongeza huyo "mchungaji".
Chama maarufu ni kile ambacho kinajiona kama cha upinzani lakini wakati huo huo kikinunuliwa "air time" kwenye TV ya taifa na chama tawala wakati wapinzani wengine hawaruhusiwi kabisa habari zao kutangazwa kwenye hiyo TV.
Hicho ndicho chama maarufu.