Chadema na ccm wapenyeza mamruki kibao ACT

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
75
katika hali ya kujiweka sawa kuimaliza Anglican community transparent(ACT) vyama 2 chadema na ccm wamepenyeza watu wao ndani yake ili kupata michakato yote inayo endelea ndani kama hatua ya kujihami ktk mikakati ya kuwachafua unao andaliwa na chama hicho ambacho kimeundwa na waroho wa madaraka walio timuliwa au kukosa nafasi toka ktk vyama vyao vya zamani
 
Sasa wewe ni wa ACT, CCM ama CDM? Kweli kabla ya 2015 tutaona mengi.
 
Mbona huweleweki mkuu,Nahisi kama vile na wewe ni miongoni mwa mamluki mnaotaka kukihujumu Chama cha Alliance for Democracy and Transparent (ACT)
 
Naombeni mnisaidie hivi huko ULAYA na nchi nyinginezo kuna Chama cha Siasa kilichopewa jina la KISWAHILI? Kama hakuna huyu mdudu ACT, NCCR, CUF, DP wanatoa taswira gani? Ni vyama vya Kizalendo au kujipendekeza mataifa ya Ulaya. Mtu na akili zako unajua watu Wako wa Kigoma shule hawana, matokeo ya jimbo lako mwaka 2013 yametia aibu, watu Wako wanajua kiha na kiswahili kidogo Kisha unaleta mdudu aitwaye ACT. Nani ataweza kutamka kirefu chake? Shame on you
 
Hapana sema tena tabia baya sana.
 
katika hali ya kujiweka sawa kuimaliza Anglican community transparent(ACT) vyama 2 chadema na ccm wamepenyeza watu wao ndani yake ili kupata michakato yote inayo endelea ndani kama hatua ya kujihami ktk mikakati ya kuwachafua unao andaliwa na chama hicho ambacho kimeundwa na waroho wa madaraka walio timuliwa au kukosa nafasi toka ktk vyama vyao vya zamani

Mmenaswa pabaya mazee. Tulieni ivo ivo mnyolewe. Eti chadema nao mmegeuka ccm kwa propaganda. ACT wanachama wake ni wale wale waliokuwa wanachama harali wa chadema kabla haijabakwa. Leo hii mmeanza kukiri ndoto za wasira mnahaha. Msiilaumu ACT mlaumuni mbowe na slaa kwa kushauriwa na akina lema kuiua cdm nanyi mashangilia. Picha mliyooneshwa na wananchi kwenye uzurulaji wenu wa m4c opd umewatia muweweseko mkubwa sana. Sasa laumuni maamuzi ya kijinga mliyoshabikia.
 
katika hali ya kujiweka sawa kuimaliza Anglican community transparent(ACT) vyama 2 chadema na ccm wamepenyeza watu wao ndani yake ili kupata michakato yote inayo endelea ndani kama hatua ya kujihami ktk mikakati ya kuwachafua unao andaliwa na chama hicho ambacho kimeundwa na waroho wa madaraka walio timuliwa au kukosa nafasi toka ktk vyama vyao vya zamani

Mmmh!! Mbona unadharirisha dini za watu bila kibali kutoka kwa wahusika? Au unamaanisha nini kuandika Anglican Community Transparent (ACT)?

1. Je, umeandika kwa makusudi au haujui ulichoandika?

1.1. Ikiwa umeandika kwa makusudi, lengo lako nini na unataka nani ajue kuwa kanisa la Anglikana wanaanzisha chama cha siasa?

1.2. Ikiwa haujui ulichoandika, kwanini ufanye hivyo?

Haipendezi kuandika vitu visivyofaa mbele ya jamii dhidi ya dini za watu.

TAMBUA KUWA, Anglikana wanayo Jumuiya (Baraza) ya Kiroho inayoitwa Anglican Church of Tanzania (ACT), na SIO Anglican Community Transparent (ACT), kama ilivyopotoshwa na mtoa mada.

Tafadhali, wasimamizi wa JF angalieni upotoshaji huu.
 
katika hali ya kujiweka sawa kuimaliza Anglican community transparent(ACT) vyama 2 chadema na ccm wamepenyeza watu wao ndani yake ili kupata michakato yote inayo endelea ndani kama hatua ya kujihami ktk mikakati ya kuwachafua unao andaliwa na chama hicho ambacho kimeundwa na waroho wa madaraka walio timuliwa au kukosa nafasi toka ktk vyama vyao vya zamani
Naona mmekazana kuitambulisha ACT kwenye mitandao.
 
Chezea cdm nini? Tsubiri 2015 na act yenu akina mkakati wa mabadiliko hapo lumumba kupipia kwa zzk group na miwani ya mbao
 
Back
Top Bottom