Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Tanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green guard hawa nao CHADEMA wana Red brigadi, je ni majeshi au ni vikundi? je katiba ya nchi inaruhusu? kama wote wamevunja katiba ya nchi kwa kuanzisha waliyoanzisha nini kifanyike? Ni bora kabisa vyama hivi vikafutwa kabisa? tena kile kinachoonekana kuwa ni tatizo kifutwe kabisa? Ni heri tuingie kwenye uchaguzi mdogo wa kitaifa kuliko kupoteza Amani na Uzalendo wa Taifa letu.VIVA chama cha NCCR-MAGEUZI-PAMOJA TUTASHINDA, MUNGU YUPO.