CHADEMA MWANZA: Mwana Magamba achezea Kichapo cha haja

kamanda mkuu mbowe alikamatwa na kuwekwa ndani na kupelekwa arusha hajitambui,awali chadema walimpa kova masaa 6 amwachie,kova alikomaa nae hadi arusha! duh chadema hawajifunzi kuchimba mkwala!
Haujaona effects zake tu,
Hauoni Ma Bwana zako now wanacheza Ngoma ya CDM, kuanzi Mkwer.e hadi Msomali Jangili wa Meno ya tembo
 
katika mkutano wa chadema leo mwanza kulikuwepo na polisi na vyombo vingine vya ulinzi ambavyo kwa kweli vimefanya kazi yake vizuri hadi mkutano umeisha kwa amani...
ila kitu kimoja kimekitia doa na kinaendeleza kutia doa na kuaminisha wananchi kuwa CDM ni chama cha vurugu ..kuna vijana wawili walitofautiana kauli na wanachama wa cdm ndani ya mkutano huo kilichotokea wanachama wa cdm ni kuanza kuwapiga na kuwaumizi vibaya hadi walipokuja okolewa na polisi..
ukweli imesikitisha sana ,sasa chadema ni chama cha kuchukua sheria mkononi kupiga wananchi???

chadema ni chama cha kusifiwa
 
Back
Top Bottom