Chadema kigoma bye! bye!
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

.
Siasa za kupingana kwa hoja ndio tunu ya ulimwengu uliostaarabika. Ndio siasa zinazofanywa kwenye zile nchi tunazopeleka bakuli kuomba msaada. Unafikiri siasa za fujo na mabavu kama za Liberia ya Teyla zitamkomboa binadamu ama zitamwangamiza? Ona masikini wale vijana waliobeba mabango walichokuwa wamevaa miguuni. Nilipowaona hali zao nilitafuta mahali pa peke yangu nikawalilia. Nilitafakari na nisipata jibu, kwamba umeme unapandishwa hawaandamani, kodi za simu zinaasisiwa wala hawana habari jamo mwenye uwezo kwao anamiliki simu na uwezo wa kutumia vocha ya buku kwa huo mwezi unaotakiwa hana. Achalia mbali shule, dawa hosptalini nk ambazo hawana. Basi demokrasia imewaruhusu ili mufikishe mabango yenu na yamulikwe na media zote ujumbe ufike sasa mawe mnayorusha ya nini? Ndio tuseme hayo mawe yatamrudishia Zitto unaibu katibu aliyonyanganywa kwa mujibu wa taratibu na miongozo ya chama chake? Jingine ni kwamba chadema wana uwezo mkubwa wa kulinda mikutano yao kuliko hata wawezavyo kufanya polisi lakini wameliacha suala hili mikononi mwa polisi ili kulinda utengamano wa taifa. Lakini ikifika mahali ambapo tunaona watu wasiozidi kumi na tano wanawashinda polisi wenye silaha basi itabidi uzalendo utushinde na hivyo kutangaza uasi kwa taratibu za polisi kwa kuchukua jukumu la ulinzi sisi wenyewe. Dr Slaa kawaacha wenye mabango watoe dukuduku lao na huu ni ukomavu wa kidemokrasia ulio juu sana katika bara hili. Sii hata sisiem wanaothubutu kuruhusu bango limfikie mwenyekiti wao. Sasa tunasema kama hao wenye mabango hawawezi kuwa na siasa za kupingana kihoja basi raia tutahakikisha hata ruhusa ya kukanyaga uwanja wa mkutano hawaupati.
TANZANIA YA LEO DR SLAA NA CHADEMA WANATAJWA ULIKO BIDHAA YEYOTE ILIYOPO KATIKA MATUMIZI YA KILA SIKU YA BINADAMU.
.
Kwa hiki ulichokiandika kinaendana na ID yako ya trade name ya condom kwa hiyo hapo ulipo unatumika
Pole mkuu , umeshameza dawa lakini.

Mkuu mi sina haja ya ku comment kwenye maneno yako yoote ispikuwa hio sentensi ya mwisho.
Kutajwa sana kwa chadema na dr slaa hakumaanishi chochote cha maana!
Hata wakati wa watu walipoanza kuhara ovyo. Kipindupindu kilikuwa kinatajwa kuliko kitu chochote Tanzania! Na kilipopita. Basi maisha yakarudi kama kawaida.
Kwa hivyo. Chadema ni kama mfano huo. Na hii balaa ikishatupwa jalalani 2015. Maisha yetu yatarudi shwaaari kama zamani.
Hatutosikia tena miripuko wala maaandamano yasio na kichwa wala kiuno.
Na hilo jina la Slaa litabaki kama la bulicheka. Kwenye vitabu vya hadithi za alinachana.
Cc Ritz
.
Mkuu nakushukuru sana ila na wewe huoni wasi wasi wako upo hapo 2015? Kutajwa sana kwa chedema na Dr Slaa ni hofu ya 2015.
Chadema kwa sasa zikiitishwa chaguzi hata za vijijini inashinda bila hata kutumia nguvu kubwa. Hofu kuu ya system kwa sasa ni nani ndani ya sisiem mwenye uwezo wa kushindana na Dr Slaa? Hofu yao iko hapo. Ni kweli kwa mfano wako Kipindupindu ni ugonjwa hatari ambao katika jitihada za kuuzuia hutajwa sana laa sivyo utawamaliza watu wotu. Hali kadhalika chadema hutajwa sana kwa sababu ya hatari waliyoisababishia system. Wanafanya kila njia kuizuia kwani wasipofanya hivyo itashinda chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa ubunge na urais.
Nami kwa upande wangu sioni kama wanaweza kuizuia chadema kuchukua nchi.
.
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu kwanza naomba utambue kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Na siasa ya Tz si lolote zaidi ya utapeli wa mchana!
Kitu Ninachosema ni kuwa CCM juu wa kasoro zake na juu ya shida zetu Watu tumeishi kwa amani miaka yote.
Toka chadema ianzishe hizo pirika zake za kuwania uongozi watanzania tumejengewa UADUI MKUBWA SANA!
Leo imekuwa wana CDM na wana CCM ni maadui kabisa! We unayaona mwenyewe humu jf!
Na husikii uadui huu kutoka vyama vingine kama ccm na cuf. Au ccm na nccr. N.k
Zile nchi ambazo watu wamechinjana na kuuwana wao kwa wao. Woote WALIANZA KAMA SISI!!
Ilikuwa uadui wa vyama au makundi. Mwishowe wakaingia ktk vita vya silaha!
We hebu fikiri ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa sababu hizi za ushindani. Tena wa hivyo vyama viwili??
Mnataka yatokee mangapi mpaka muache hizo harakati zenu za kuwania uongozi kwa fujo?
Watu badala ya kuonyesha wananchi mazuri watakayo yafanya. Basi wao kazi yao ni kuonyesha MABAYA YA WAPINZANI WAO.
Msipo badilisha hii tabia. Basi mtakujastukia wananchi wamebeba mapanga wanauwana ovyo!
Shauri yenu.
We ndio uko Mirembe day! Kwanza unapumzika saa ngapi? Kutwa umo humu JF!